kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

otile brown - hafanani كلمات الأغنية

Loading...

[intro]
ih
oh, oh
ih
mmm
na_na_na_na, oh yeah
ih
mmm
ih
mmm
mmm

[verse 1]
usinione najiamini
yote ni kisa namjua mungu
mungu anaishi ndani yangu
ndio anipaye ujasiri (mmm)
usinione ninaringa
yote ni kisa namjua mungu
mungu anaishi ndani yangu
ndio ananisitiri mimi

[verse 2]
nimeshapigana vita vingi
nimeshapoteza vingi
ila imani yangu kwake iko imara (mmm)
wamekwisha niwekea vigingi
mchawi n_z_ ‘kavunja ka sitini
ila nimeshindikana
nimeshindikana
[pre_chorus]
tena siogopi hata kwa hatari
mmm
siogopi hata kwa ajali (ooh, ooh)
alimradi uko nami
niko sambamba
siogopi hata kwa hatari (ooh, ooh)
maana mungu w_ngu mi

[chorus]
hafanani
yeye hafanani
(hafanani na binadamu)
hafanani
yeye hafanani
(mungu w_ngu hafanani)
hafanani
yeye hafanani
hafanani
hafanani
yeye hafanani
(mungu w_ngu hafanani)
hafanani

[post_chorus]
katu hafanani na binadamu
mungu w_ngu hafanani nawe
mungu w_ngu
oh, oh, oh, oh
hafanani
mungu w_ngu hafanani na binadamu
mungu w_ngu hafanani nao (na binadamu)
(instrumentals)

[pre_chorus]
tena siogopi hata kwa hatari
mmm
siogopi hata kwa ajali (ooh, ooh)
alimradi uko nami
niko sambamba
siogopi hata kwa hatari (ooh, ooh)
maana mungu w_ngu mi

[chorus]
hafanani
yeye hafanani
(hafanani na binadamu)
hafanani
yeye hafanani
(mungu w_ngu hafanani)
hafanani
yeye hafanani
hafanani
hafanani
yeye hafanani
(mungu w_ngu hafanani)
hafanani
[pre_chorus]
katu hafanani na binadamu
mungu w_ngu hafanani nawe
mungu w_ngu
oh, oh, oh, oh
hafanani
mungu w_ngu hafanani na binadamu
mungu w_ngu hafanani nao (na binadamu)

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...