kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

otile brown - amor كلمات الأغنية

Loading...

ooh yeah, baby
this one for the true lovers
just in love music

hey naumia moyo
baby…yeah mmh

ningekuwa mng’ata hii dunia
ooh mi amor
ila ndo nisije jaliwa
sina la ku offer
zaidi ya mapenzi ya dhati

hali yako naielewa
wala usijali, nimekubali ilivyo
kwako nimelowa
nilidhani nitaelea nikajihisi mia, ooh

my cherie
hata na pasi nasa nayo ooh baby
my hunnie
hata balobi natika yoh jameni

my cherie
hata na pasi nasa nayo ooh baby
my hunnie
hata balobi natika yoh jameni

kwenye shida na raha, aah-aah
kwa k-mbato lako ni sawa, sawa
kwa maradhi sihitaji dawa, dawa
kwa busu lako baba ni sawa, sawa

hali mradi niko na wewe
(iyee, iyee aaah)
hali mradi niko na wewe
(iyee, iyee aaah)

hali mradi niko na wewe
(iyee, iyee aaah)
hali mradi niko na wewe
(iyee, iyee aaah)

hatuna king-size bed ila twalala(twalala)
haila za burger, ila twala(twala)
umeridhia moyo
kwa penzi lako la dhamani

hatuna king-size bed ila twalala(twalala)
burger, ila twala(twala)
umeridhia moyo
kwa penzi lako la dhamani

hali yako naielewa
wala usijali nimekubali ilivyo
kwako nimelowa
nilidhani nitaelea nikajihisi mia

my cherie
hata na pasi nasa nayo ooh baby
my hunnie
hata balobi natika yoh jameni

my cherie
hata na pasi nasa nayo ooh baby
my hunnie
hata balobi natika yoh jameni

kwenye shida na raha, aah-aah
kwa k-mbato lako ni sawa, sawa
kwa maradhi sihitaji dawa, dawa
kwa busu lako baba ni sawa, sawa

hali mradi niko na wewe
(iyee, iyee aaah)
hali mradi niko na wewe
(iyee, iyee aaah)

hali mradi niko na wewe
(iyee, iyee aaah)
hali mradi niko na wewe
(iyee, iyee aaah)

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...