otile brown - alivyonipenda كلمات الأغنية
[verse 1: otile brown]
saa zingine anayekupenda humpendi
unapenda mwingine
anayependa mwingine hata asiye mpendanga
na kila mtu anataka type yake
saa zingine hata wale wenye hadhi na sisi tunawakataanga
[chorus: otile brown]
alivyonipenda yule, alivyonipendanga
alivyonipenda yule, sikujali nikamuaga
[verse 2: otile brown]
yule aliyenipenda bure
nikamuacha kwa ajili yake yule
aliyefata pesa na zaidi ya hiyo sikuwa na maana
kweli macho yalinihadaa
haki macho yalinihadaa
alivyonipenda kwa bidii
suzeed kanionya mimi sisikii
urembo pekee hauridhishi
inahitaji zaidi
type yangu, ni yule anaejua thamani ya penzi langu…
type yangu, ni yule anaenienzi
ina maana gani, uwe na msichana mrembo
dunia nzima, na hakupendi?
ina maana gani uwe na mume
mwenye hela chungu nzima na hakudhamini?
[chorus: otile brown]
alivyonipenda yule, alivyonipendanga
alivyonipenda yule, sikujali nikamuaga
[verse 3: king kaka]
alikuwa w_ngu wahu wakati nilikuwa nameless
nikimuona nasinzia ka nameless
uko? ntakuja kalesa
love ilikuwa genuine than leather
na huyu we started kitambo wakati sk_ma mezani was diambo
wakati stima kw_ngu was candle
wakati birthday yake haikuwa na keki
wakati nikisota alinipiga jeki
nikachanganyikiwa na rangi ya thao
yangu ikafunguka club ndio makao
leo macha kesho coast tunakacha hata
tulizi document snapchat
niko empty nammiss kishenzi
alinipa ya kweli mapenzi
lonely mamiss alivyonipendanga
[chorus]
alivyonipenda yule, alivyonipendanga
alivyonipenda yule, sikujali nikamuaga
كلمات أغنية عشوائية
- antonella ruggiero - un lungo tratto di strada كلمات الأغنية
- maxiata - cerco te كلمات الأغنية
- rohff - rap info كلمات الأغنية
- rohff - parfois des fois كلمات الأغنية
- rohff - l'introhff كلمات الأغنية
- rohff - galaxy كلمات الأغنية
- another breath - clio كلمات الأغنية
- timmy curran - troubled كلمات الأغنية
- rohff - t.d.s.i. كلمات الأغنية
- negrita - bonanza كلمات الأغنية