kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

otile brown - aje anione كلمات الأغنية

Loading...

oooh,
ooh baby,
naamini kila binadamu ana ubaya na uzuri wake, baby,

mmmh,
naamini kila binadamu ana madhaifu yake,
ooh baby,
mmmh,
nami yangu nayajua na nakabiliana nayo,
ila mwenzio sitojua kwa kosa la kuumiza moyo wako, ooh nisamehe
tena najuta, najuta eeh,
aah, yalonikuta,
kazi ya ibilisi mama,

tena usiku silali,
labda nilewe chakari,
ama nilale mama na picha yako kifuani,
ndo nijisuku nami je unaniwaza
mmh baby,
ama tamaa kw-ngu ulishakata,

aje anione, aje akanione,
aje anione,
aje anione ne ne ne ne

wajua ninakukosa sana, hasa giza linapotanda,
mi mahututi,
mi mahututi
wajua nmekuzoea mama, nakuhitaji leo zaidi ya jana,
na endapo utachelewa mama,
mi maiti,
eeeh,

tena najuta, najuta eeh,
(mamaa)
yalonikuta,
kazi ya ibilisi mama,

tena usiku silali,
labda nilewe chakari,
ama nilale (mama) na picha yako kifuani,
ndo nijisuku nami,
je unaniwaza,
mmh, baby,
ama tamaa kw-ngu ulishakata,

aje anione, aje akanione,
aje anione,
aje anione ne ne ne.

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...