kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

orchestre les wanyika - sina makosa كلمات الأغنية

Loading...

haiyoooohh!!
lelele lile lele liloo ohh ohh mama

hasira za nini ww bwana, hasira za nini we bwana, wataka kuniuwa bure baba! wataka kuniuwa bure baba!
yule si wako na mi si w-ngu
chuki ya nini kati yangu mimi na ww chuki ya nini kati yangu mimi na ww?

le le le lile lele liloo ohh
hasira za nini we bwana, hasira za nini we bwana ah. . wataka kuniuwa bure baba wataka kuniuwa bure baba

kwako hayuko kw-ngu hayuko chuki ya nini kati yangu mimi na wewe chuki ya nn kati yangu mm na wewe
lele le lile lele lilo oh oh ahh!

hasira za nini we bwana hasira za nini ww bwana wataka kuniuwa bure baba
wewe una wako nyumbani na mimi nina w-ngu nyumbani chuki ya nini kati yangu mimi na ww chuki ya nini kati yangu mimi na wewe

haiyoooohhh!! le le le lile lele lilooh oh oh mama

(instrumintal)

sina makosa!!
chuki ya nini?

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...