
orbit makaveli - wa taifa كلمات أغنية
intro
unh.. mr kesho
yeah.. yap.. yeah
verse(orbit)
look, haijalishi w_nga w_n_leta habari gani
hatuwezi kutetereka hatuvurugani
we ndio sultana, mi ni sultani
vikwazo kibao ila penzi letu ni burudani
she likes fast, she loves it slow, she brings it back then drop it low
she know she bad, i want it all, acha wanafki watokwe roho
siku hizi tunafanana ka’ kanda mbili
mikwanja dili napanga so mum subiri
majanga ukija kudanga ni ka’ shubiri
na w_nga utawapa mw_nga wa kutu k!ll unh
hook(mr kesho)
sina tantalilaa, tantalila, baby wa taifa ni weewee, wa taifa
penzi letu lina pepea, pepea, pepea
tumesimama kidedea, dedeaa, mmmmh
dedeaaa, dede
verse 2 (orbit)
mtoto ana kinyungu ni faya faya
nikizidisha utundu ni wayawaya
akisafisha uvungu nagwaya gwaya
mpaka nakaribisha wazungu ulaya ulaya
mi napenda kila kitu about her yeah!
mapocho pocho na ma sapta sapta yeah!
ni zaidi ya kisu anavyo kata kata
wa zamani naomba mkome kunifuata fuata
she my ride or die, with me like a certified freak
apple b_ttomed booty, mtoto mzuri wa kiafrika
zaidi ya ngoma kali, chati za juu anavyoshika
tozi pata tahadhari, ukishoboka ni vita
hook(mr kesho)
sina tantalilaa, tantalila, baby wa taifa ni weewee, wa taifa
penzi letu lina pepea, pepea, pepea
tumesimama kidedea, dedeaa, mmmmh
dedeaaa, dede
bridge(mr kesho)
chizi wa mirembe, sielewi kabisa, we ndio w_ngu wa maisha
kwa mama twende, penzi kuhalalisha tufanye kuharakisha
tupate baraka mi na wewe, tuishi wote milele
tupae mawinguni my girl ye yeeaah aaaouh!
hook (mr kesho)
sina tantalilaa, tantalila, baby wa taifa ni weewee, wa taifa
penzi letu lina pepea, pepea, pepea
tumesimama kidedea, dedeaa, mmmmh
dedeaaa, dede
كلمات أغنية عشوائية
- vandalismus - störzone skit كلمات أغنية
- versvs - dream كلمات أغنية
- e-girls (jp) - cinderella fit (winter version) كلمات أغنية
- wtdpg - 1 sentido كلمات أغنية
- johnnascus - confusion كلمات أغنية
- rival - down كلمات أغنية
- lil benjas - planes كلمات أغنية
- sevi rin & heinie nüchtern - 1x nachgedacht كلمات أغنية
- threads - colorless كلمات أغنية
- lord of emotion - bbc كلمات أغنية