kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

omary kopa - nadekezwa كلمات الأغنية

Loading...

#intro
ahhh wengi wanaa
ulizanaa
kwanini?
nadekezwa
nadekezwa
nadekezwa
nadekezwaaa
nadekezwaaa
nadekezwaaa
wengi wanaa
ulizanaa
kwanini?
nadekezwa
nadekezwa
nadekezwa
nadekezwaaa
nadekezwaaa
nadekezwaaa
#verse
sababu ka
nipenda sana
nyonda nina
mliwaza mliwaza
namliwazaaa
sababu ka
nipenda sana
nyonda nina
mliwaza mliwaza
namliwazaaa
aniii iii
anijuaaa
siriyaaanaa
mapenzi
kwa mapenzi nayaweza
aniii
anijuaaa
siriyaaanaa
mapenzi mapenzii
kwa mapenzi nayaweza
ahhha ya nini tena
fitina hebu nyamaa
zeni kwanzaa
ya nini tena
fitina hebu nyamaa
hebu nyamaa zeni kwanza
#instrumental
#hook
yaa layli yaaaaaaaaaa
lеyii
yaa layli yaaa aaaaaaaa
leyii
yaa layli yaaa aaaa
leyii eeiihieeihhhh
ya leyiii
#instrumental
#hook
habibii yalеyii
mahibibaa yaleyii
yaleyii yaleiii
yaleyiiiiiiii
laini yaaa
yaa salamm
#instrumental
#verse
na kwanini
nisidekee
yupo wa kunidekezaa
na kwanini
nisidekee
yupo wa kunidekezaa
na kwanini
nisidekee
yupo wa kunidekezaa
na kwanini
nisidekee
yupo wa kunidekezaa
mapenzi na raha zake
kw_ngu mimi miujiza
mapenzi na raha zake
kw_ngu mimi miujizaa
nitakacho juu yake
juu yake
imaana kitimizaa
nitakacho juu yake
juu yake saa yoyote
imaana kitimiza kitimiza
nitakacho juu yake
juu yake
imaana kitimizaa
nitakacho juu yake
juu yake saa yoyote
imaana kitimiza kitimiza
wachenii upeke peke
hatutaki kuchokozwa
wachenii upeke peke
hatutaki kuchokozwaaa
#chorus
na kwanini nisidekee
nami nadekea changuu
na kwanini nisidekee
nami nadekea changuu
na kwanini nisidekee
nami nadekea changuu
na kwanini nisidekee
nadekea mpenzi w_ngu
ukitaka usitake
yeye atabaki w_nguu
ukitaka usitake
yeye atabaki w_nguu
#instrumental
#verse
pengine twa
twabia yangu
ndicho kilo mpendeza
penginee
matunzo yangu
ndicho kilompendeza
pengine ni
heshima yangu
ndicho kilompendeza
pengine ni hadhi yangu
ndicho kilompendeza
amejikaa
bizi kw_ngu
apete kuu
niliwazaa
amejikaa aahh
bizi kw_ngu
apete kuu
niliwazaa
_n_lileaa
pendo langu
pendo langu
nami nimejituliza
_n_lileaa
pendo langu
pendi letu
nami nimejituliza
_n_lileaa
pendo langu
pendo langu
nami nimejituliza
_n_lileaa
pendo langu
pendi langu
nami nimejituliza
bakieni na uchungu
mwezenu na bembelezwa
bakieni na uchungu
mwezenu na bembelezwaa
#chorus
na kwanini nisidekee
nami nadekea changuu
na kwanini nisidekee
nami nadekea changuu
na kwanini nisidekee
nami nadekea changuu
na kwanini nisidekee
nadekea mpenzi w_ngu
ukitaka usitake
yeye atabaki w_nguu
ukitaka usitake
yeye atabaki w_nguu
#instrumental
#verse
yeye ndio yangu
yangu jeuri
msiojua nina waeleza
yeye ndio w_ngu
w_ngu umuri
wasiojua nina waeleza
yeye ndio yangu
yangu jeuri
msiojua nina waeleza
yeye ndio w_ngu
w_ngu umri
wasiojua nina waeleza
kwake nina
tafakharii
anavoni
toshelezaa
kwake nina
tafakharii
anavoni
toshelezaa
tena ana
nishauri nishauri
jambo la kutekeleza
tena ana
nishauri nishauri
jambo la kutekeleza
tekeleza
tena ana
nishauri nishauri
jambo la kutekeleza
tena ana
nishauri nishauri
jambo la kutekeleza
tekeleza
pendo limeshashamiri
wembea na washangazaa
pendo limeshashamiri
wembea na washangazaaaa

#outro
na kwanini nisidekee
nami nadekea changuu
na kwanini nisidekee
nami nadekea changuu
na kwanini nisidekee
nami nadekea changuu
na kwanini nisidekee
nadekea mpenzi w_ngu
ukitaka usitake
yeye atabaki w_nguu
ukitaka usitake
yeye atabaki w_nguu

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...