kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

octopizzo - prezidential كلمات الأغنية

Loading...

…baba wa taifa…

[intro]
8 town
pizzo the king… dig it!
you know what time it is
kibera to the world baby

[verse 1]
design ye huchora saba, artist, pic-sso
hakuna cha cd, mi ni old skool ni c-sso
mixtape nimewauzia ni eight minutes ni kaa soo
figure ya chupa matime mi humconfuse na daso
gold digger hizi bling an-z–hustle
mambleina walidhani kurap ni muscle
na mresh wake nikimuingizia anashikwa na muscle-pull
kabla ni-shoot ako zile za… pull
nine months later aga khan… push
mi na moses na george tuna-burn bush
na kenye tunachoma ni purple… kush
so high kuliko angels… dush
ita paka coco p-ss p-ss
kenye unataka bora usi lose-lose
tei juu ya maji design ya goose goose
good food, good mood

[hook]
it’s a wrap, ka moi it’s arap
it’s a wrap, ka moi it’s arap
it’s a wrap, ka moi it’s arap
it’s a wrap, ka moi it’s arap
rapcellency prezidential

[interlude]
wengine ni siasa ndogo ndogo tu ambayo… ya pesa nane
unakimbia kama takataka barabarani
kuimba ngoma ambayo haijulikani unaimba
wakikuuliza sema sijui, sikia…
nyinyi wananchi wa kenya, msiende kwa njia hiyo
tutunze nchi yetu!

[verse 2]
hey
mapockets green, zucchini
waresh niki? bikini
unakunywa nini? nakunywa guinney
world record kila track nadrop inaingia guiness
tergat- niko na gold medals ka ishirini
in short mi ni long distance paper chaser
international flag waver, marathon lover
tunawaacha wakijificha chini ya mabed cover
high cholesterol, mi ni mcheesy
biz ni biz, mtu w-ngu niko busy
monkey business, sikupi hii ndizi
na bila jay si beyonce atafeel zii
navaa wife beater kabla niskize ngoma za breezy
kabla nikunyang’anye dame naskia album ya drizzy
na tangu niwaibie limelight ka lil wayne wanadaigi siku hizi mi ni mwizi, baaaby!

[hook]
it’s a wrap, ka moi it’s arap
it’s a wrap, ka moi it’s arap
it’s a wrap, ka moi it’s arap
it’s a wrap, ka moi it’s arap
rapcellency, prezidential

[interlude]
wengine ni siasa ndogo ndogo tu ambayo… ya pesa nane
unakimbia kama takataka barabarani
kuimba ngoma ambayo haijulikani unaimba
wakikuuliza sema sijui, sikia…
nyinyi wananchi wa kenya, msiende kwa njia hiyo
tutunze nchi yetu!

[verse 3]
deadly ka cancer za kansas
na saa hii naskiza mi-mixtape ya ras k-ss
no pollution but still tunap-ss gas
si reggae but inabamba hadi ras mwas
enda lap ukirudi unipatie lapdance
on your marks, get set, go
on my lap, ok, go psycho
kaa square ama hutawahi fit kwa hii circle
wapi map? jaza gap
put your drinks up, jaza cup
where yo money at?
pata gwap
unafanya kwa gift shop? basi wrap
unaskia ku-doze mtu w-ngu? shika naps
baba yao, baba tracy, mi ndiyo pap
hii track ni mad kwa instagram, double tap
na hata ukiuliza moi atakushow it’s a wrap!

[hook]
it’s a wrap, ka moi it’s arap
it’s a wrap, ka moi it’s arap
it’s a wrap, ka moi it’s arap
it’s a wrap, ka moi it’s arap
rapcellency, prezidential

[outro]
prezidential
kibera to the world, na si tafadhali mtu w-ngu…
king!
it’s namba nane baaaiby!

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...