kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

octopizzo - flex كلمات الأغنية

Loading...

[intro]
pizzo de!
8town
gang gang
woo!

[hook]
flex, flex, flex, flex, flex, flex, flex
flex (flex), flex flex flex (gang)
mbili ni defense (weuwe!), moja ni goaler
namba nane nikistrike hizi ndio goals man
flex, flex, flex, flex
flex (woo!), flex flex flex
mbili ni defense (weuwe!), moja ni goaler
namba nane nikistrike hizi ndio goals man

[verse 1]
s_x, s_x s_x sells
exes, nina excess (wengi sana)
heaven niliex_h_ll
on some balance sheet nikiexcel (gang gang)
mic mulla drip check check
tusibonge ju ya mulla bana, nina blank cheque
cheap shots n_gga vaa vest, skrr skrr niko back left
marapper wengi kwenye tl, n_gga press next
biz zako zote chai rangi, venye kila siku uko maji
g’s w_ngu wote standby, wanagoja rada gani
noma ni niko maganji (ooh ooh ooh!)
pigwa mbegu nyingi ka kichungi, sina time yako ka unikanji (sina)
hao wengine wannabe (wote wote wote wote)
n_gga mi ni cannabis, sativa
ukinusa unafreeze (freeze), zimeshika
rada chafu tuma pin
goro ngapi ziko clean?
[hook]
flex, flex, flex, flex, flex, flex, flex
flex (flex), flex flex flex (gang)
mbili ni defense (weuwe!), moja ni goaler
namba nane nikistrike hizi ndio goals man
flex, flex, flex, flex (gang gang)
flex (woo!), flex flex flex
mbili ni defense (weuwe!), moja ni goaler
namba nane nikistrike hizi ndio goals man

[verse 2]
anapenda nikismile (cheka cheka cheka cheka!)
seesaw nikistyle, drip drip drip
nginyo nikidrive
nikilamba anablush
nikizama anasplash
pizzo de!
nina kila kitu we ‘usaka na haupati daily
vina kila siku nikichana hunipati wewe
huyu kijana akitema bana ni ukapi senje
nakupenda ile ya dhati bebe sikupendi ju ya senye
menje paparazzi wako mission
tenje kata simu niko meeting (gang gang)
ndizi mi na moraa tuko kissing
listen hizi level hamfiki (woo)
[bridge]
flex flex flex flex
mchana flex flex flex
juzi e sir akanicall wanakuogopa
rip big bro bana bado tunasonga

[hook]
flex, flex, flex, flex, flex, flex, flex
flex (flex), flex flex flex (g!)
mbili ni defense (mbili ni defense!), moja ni goaler (moja ni goaler)
namba nane nikistrike hizi ndio goals man
flex, flex, flex, flex
flex (woo!), flex flex flex
mbili ni defense (mbili ni defense!), moja ni goaler (moja ni goaler)
namba nane nikistrike hizi ndio goals man

gang gang!

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...