ochungulo family - aluta كلمات الأغنية
yeah yeah yeah, ah aluta
exray, aluta
gwaash eeeh, aluta
ochungulo, aluta
nipate baze na maboyz tumechill
tunakata mizinga aluta
na madem wakikam nayo nayo
tunakuanga girimba aluta
na mawetete wetete
boss utabaki umelola aluta
tuko jing’ na ma jong’
na mafans wanazoza aluta
ati form zi hukam ni aluta
ati rieng za ponyoto ni mafuta
shikisha njiti ndo uingize ngeus chupa
uliza gwaash siye uwabeba na mashuka
leta storo ndio nikuchome kibonus
ng’orea odi ndio nikushow ukiponwa
rungu yangu si utabaki ukishonwa
mpige munju ndo ashikwe na homa
hii ni tension nahitaji kuseti
mangeus wako wengi nahitaji k_medi
bash ni ya waras sijui nikuwe kipedi
ka una usoro sijui nikuweke pending
bash iko fine juu ifike wikendi
hawa wasupa wote nawapiga parking
sina ndai nilipoteza car keys
ngeus hako jaba na anadai sijui french kiss
nipate baze na maboyz tumechill
tunakata mizinga aluta
na madem wakikam nayo nayo
tunakuanga girimba aluta
na mawetete wetete
boss utabaki umelola aluta
tuko jing’ na ma jong’
na mafans wanazoza aluta
aluta, aluta
leo mpaka aluta
aluta, aluta
zimeshika aluta
aluta, aluta
leo mpaka aluta
aluta, aluta
zimeshika aluta
oya washa tukiburn, zilipuke ka saddam
jicho nyanya tunagang tunakaa taliban
mwita ka ni fan apewe keg tu na jug
roho sewe na maddam usifuate babylon
switch position kaniendeshe ka nissan
kesho nitaenda kanisani
(father give me permission)
call polisan
nitajipata aga khan
nina damu ya oliver khan
kunitackle ni haram
shoot to di sun
si lazima ukuwe na gun
fanya sa ile uko young
chorea stori za makw_ng’
stick to the plan
niko loyal tu kwa fam
ka ni form ya doh nitakam
ka ni vajo nita cum
yes kadunda, aah kadunda
aaah kadunda, aah kadunda
yes kadunda, aah kadunda
aaah kadunda, aah kadunda
nipate baze na maboyz tumechill
tunakata mizinga aluta
na madem wakikam nayo nayo
tunakuanga girimba aluta
na mawetete wetete
boss utabaki umelola aluta
tuko jing’ na ma jong’
na mafans wanazoza aluta
aluta, aluta
leo mpaka aluta
aluta, aluta
zimeshika aluta
aluta, aluta
leo mpaka aluta
aluta, aluta
zimeshika aluta
aluta aluta
dem yangu ana mathutha
tulikuwa tumehata hii vibe
ghapuka to the world lazima
hii round tutashine
si uficho tutarise
si uficho mtalike
nelly hii beat imetouch(touch)
walisema we ndio goon
nikikuja kwenye hood
cheza chini tuwaroge
cheza chini hii ni ngori
hii najua mayut watafyam
mimi hushikisha bila tools
wanajua mimi ni veteran
iwe giza, iwe sunny, iwe kangeta
bado katagwara wi wi wi winch
alejandro niko juu ka ndege
nilijam nikabuy tu ndege
ndio nifanye bash moja genje
ruka kwa jacuzzi ndo tutoe njeve
breakfast ni dry, fry na sembe
most viewed ni mangwati tu za tene
bodyguard w_ngu wote ni malele
wanadai nawabeng’ kama champe
mi nu hitman wakugondi tenje
last week nilifuliza na unye
wakatry kunicapture na menje
alejandro nikigame makmende
aluta, aluta
leo mpaka aluta
aluta, aluta
zimeshika aluta
aluta, aluta
leo mpaka aluta
aluta, aluta
zimeshika aluta
aii, what a gwan
كلمات أغنية عشوائية
- márcio paixão - badoo كلمات الأغنية
- brian rian rehan - never let me go كلمات الأغنية
- furax barbarossa - survivant كلمات الأغنية
- atombender - amputations كلمات الأغنية
- kennythelyr1c1st - isotope with كلمات الأغنية
- kryptxc - bounce كلمات الأغنية
- end of green - send in the clowns كلمات الأغنية
- glüme (usa) - female role model كلمات الأغنية
- sister sonny - square boy / amp girl كلمات الأغنية
- charles edwin winter - wyoming كلمات الأغنية