
obby alpha - usimuamini كلمات أغنية
[intro]
ai yeah, yeah, yeah, yeah, yeah
welcome to the music surgery
[verse 1]
pole yako we
unayetaka mridhishe kila mtu
na tena utambue kamwe huwezi kupendwa na kila mtu
yule unaye muamini, unaye mthamini kama madini
k_mbe yeye akilini anawaza kukushusha chini
usione mtu anacheka k_mbe moyoni ameumia
moyo wa mtu kichaka, siri zake huwezi kujua
[pre_chorus]
oh, oh, oh
huyo best friend ndio anavujish_ga siri
oh, oh, oh
k_mbe ndugu yako ndio anakuloga sirini
we unaamini
eti ridhiki ni kwa wote
ila ndugu yako anatamani, ‘we ukose ye apate
[chorus]
ila usimuamini (usimuamini mtu)
anaweza fanya lolote upotee (usimuamini mtu)
wanadamu wanabadilika (usimuamini mtu)
asiye badilika ni mungu (usimuamini mtu)
huyo, huyo, huyo, huyo, huyo
[instrumental break]
[verse 2]
unawеza hangaika
ukope, asome
akishapata maisha kwake hataki akuonе
urafiki mwingine kazi
umemsaidia apate kazi
kisa ye amepanda ngazi
anatamani uf_kuzwe kazi
kweli upendo umepanda bei
urafiki umepanda bei
hata undugu umepanda bei
huwezi pata bila ya pesa
fadhila zimepanda bei
heshima imepanda bei
kila kitu kimepanda bei
huwezi pata bila ya pesa
[hook]
oh, oh, oh
huyo best friend ndio anavujish_ga siri
oh, oh, oh
k_mbe ndugu yako ndio anakuloga sirini
we unaamini
eti ridhiki ni kwa wote
ila ndugu yako anatamani, ‘we ukose ye apate
[post_chorus]
ila usimuamini (usimuamini mtu)
wanadamu wanabadilika (usimuamini mtu)
asiye badilika ni mungu (usimuamini mtu)
eti mara huyu best friend ndio anatunzaga siri (usimuamini mtu)
mara tena, huyu ndugu yangu hawezi kufanya hivi (usimuamini mtu)
kwasababu upendo wa kweli ni wa kuhesabu (usimuamini mtu)
yule unaye mpenda anakukataa (usimuamini mtu)
hey
usimuamini mtu (usimuamini mtu)
[instrumental outro]
كلمات أغنية عشوائية
- t.shirt - pitou hong كلمات أغنية
- kog devo - dreamland كلمات أغنية
- njeru ngari - shukrani كلمات أغنية
- student 1 - no sleep / don't كلمات أغنية
- jayznais - pra me provocar كلمات أغنية
- bad copy - ugovor sa kepom كلمات أغنية
- young igi - intro2 كلمات أغنية
- little wings - how come? كلمات أغنية
- cats in space - too many gods كلمات أغنية
- hyungdon & daejun - 그대 없이는 못 살아 (can't live without you) كلمات أغنية