kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

obby alpha - niokoe كلمات الأغنية

Loading...

[intro]
ai, yeah
ai, yeah
baba weh
welcome to the music surgery

[pre_chorus]
nimelia sana, inatosha
nimelalamika, inatosha
nimelia sana, inatosha
mungu w_ngu niokoe
nimelia sana, inatosha
nimelalamika, inatosha
nimelia sana, inatosha
mungu w_ngu niokoe

[chorus]
niokoe
niokoe
niokoe
mungu w_ngu niokoe
niokoe
niokoe (niokoe)
niokoe
mungu w_ngu niokoe
[verse 1]
kama huu ni upepo wa machozi
basi gharika la furaha yako lije
na kama hii ni mvua ya huzuni
basi we uwe mwamvuli w_ngu
na kama hii ndio maana ya ukame
haya machungu najua mwenyewe
nisaidie mwanao nipone
msaada w_ngu ni wewe pekee

[hook]
ni mnyonge
ni mnyonge
ni mnyonge
mungu w_ngu nisaidie
ni mnyonge (mnyonge)
ni mnyonge
ni mnyonge
mungu w_ngu nisaidie

nimelia sana, inatosha
nimelalamika, inatosha
nimelia sana, inatosha
mungu w_ngu niokoe
nimelia sana, inatosha
nimelalamika, inatosha
nimelia sana, inatosha
mungu w_ngu niokoe

niokoe (niokoe)
niokoe (yesu weh)
niokoe (niokoe)
niokoe
mungu w_ngu niokoe
niokoe
niokoe (niokoe)
niokoe
mungu w_ngu niokoe

[verse 2]
hey
nimeshajaribu kupapasa
kutafuta faraja kwingine
ila kote huko ni wewe pekee
nimeshazunguka kwa waganga
na matabibu kote nimefika
ila kote huko nimeshindwa
faraja yangu ni wewe pekee

[hook]
uwe tiba
uwe tiba (niokoe)
uwe tiba
uwe tiba
mungu w_ngu niokoe
uwe tiba
uwe tiba
uwe tiba
uwe tiba (uwe tiba)
mungu w_ngu niokoe
(nimelia sana)
nimelia sana, inatosha
nimelalamika, inatosha
nimelia sana, inatosha
mungu w_ngu niokoe
nimelia sana, inatosha
nimelalamika, inatosha
nimelia sana, inatosha
mungu w_ngu niokoe

niokoe (niokoe)
niokoe (yesu weh)
niokoe (niokoe)
mungu w_ngu niokoe
niokoe (niokoe)
niokoe (niokoe)
niokoe (niokoe)
mungu w_ngu niokoe

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...