
obby alpha - munasubiri nife كلمات أغنية
[intro]
ooh, ooh, ooh
ai, yeah
welcome to the music surgery
woah, woah, woah
[pre_chorus]
mmm
yeah mama
au munasubiri nife (yeah mama)
au munasubiri nife (yeah mama)
au munasubiri nife (yeah mama)
au munasubiri nife (yeah mama)
[verse 1: obby alpha]
mm, mimi kwenu my best friend, oh
mliosema mutani_support kwa kila hali (kwa kila hali)
mi kwenu my best friend, oh
mliosema muko nami bega kwa bega, yeah (bega kwa bega, yeah)
ah, yeah
mukipata dhiki, mnataka tuwasaidie
tukipitia sisi, wa kwanza kufurahi ni nyie, ooh_ooh (yeah mama)
mumeshindwa support biashara yangu
ila mnaweza ku_post matatizo yangu
mtu akishakufa ndio mnatangaza mema yake
ila akiwa hai mun_z_chukia hatua zake
[chorus]
ina maana ndio hatupendani?
au munasubiri nife
ina maana huwezi kuni_support, yeah
au munasubiri nife
nikiwa hai unanichukia
au munasubiri nife
unasubiri niende ndio useme
au munasubiri nife
ubaya w_ngu
[instrumental break]
[bridge]
alo_lo, lo_lo, loh
mnaona, ona, ona, ona…
[verse 2: walter chilambo]
siku hizi tukitoa misaada
lazima tujichukue video
hata yakitokea majanga badala ya kusaidia
ndio kwanza tunachukua video
watu, ‘tumekosa upendo
watu, ‘tumekuwa na roho mbaya
siku hizi kusaidiana mpaka na wewe utoe
tunasambaza ubaya kuliko wema wenyewe
upendo huvumilia, upendo hufadhili, ‘upendo
upendo hauusudu, ‘upendo
upendo hauhesabu mabaya, yele_le_le…
u wetu sote, tupendane
mungu wetu sote, tuchukuliane
mungu wetu sote, tubebane
tusisubiri maafa, tuchekane
[post_chorus]
ina maana ndio hatupendani?
au munasubiri nife
ina maana huwezi kuni_support, yeah
au munasubiri nife
nikiwa hai unanichukia
au munasubiri nife
unasubiri niende ndio useme
au munasubiri nife
au munasubiri nife
ina maana huwezi kuni_support, yeah
au munasubiri nife
nikiwa hai unanichukia
au munasubiri nife
unasubiri niende ndio useme
au munasubiri nife
wema w_ngu
كلمات أغنية عشوائية
- avernal - in extremis parte 2 كلمات أغنية
- john lee hooker - well i got to leave كلمات أغنية
- leichtmatrose - in wahrheit gelogen كلمات أغنية
- j-bo - song, für den uns kein name eingefallen ist كلمات أغنية
- tyrone's jacket - backpack song كلمات أغنية
- the nixons - happy song (live) كلمات أغنية
- vinnie vento - sleep x2 كلمات أغنية
- shug - antidote - 3432187 كلمات أغنية
- rubel - pinguim كلمات أغنية
- veto - one-eyed and dying كلمات أغنية