kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

obby alpha - happy كلمات الأغنية

Loading...

[intro]
aiyo, aiyo
oh_oh
welcome to the music surgery

[verse 1]
kati ya wengi, niliowaona
moyo w_ngu umekuchagua wewe
kati ya wengi, niliowaona
moyo w_ngu umekuchagua wewe

[pre_chorus]
namshukuru mungu sana kwa kunileta karibu yako (ahe)
asante baba na mama kwa kunitunzia kipenzi changu (kipenzi)
natamani niwe chanzo cha furaha yako (ah, kipenzi)
maana wewe ndio chanzo cha furaha yangu
nafurahi tukiongozana, toka monday to sunday
bila mungu tusingewezana, tusingefika today (i am happy)

[chorus]
happy kwa yale mungu aliyo nitendea (i am happy)
happy, maana hii siku mi niliisubiria, yeah (i am happy)
i am happy for you, and for me (i am happy)
i am happy today, today and forever more

[instrumental break]
[verse 2]
ah, hey
kama ni maua, ah
yanamaanisha upendo
haya hapa sweetie naomba uyapokee
chunga usije kwenda mbali, ukaniachia pengo
nami nafanya bidii, we usipotee
kama ni maua, ah, yanamaanisha upendo
haya hapa sweetie naomba uyapokee (ahe)

[pre_chorus]
namshukuru mungu sana kwa kunilеta karibu yako (ahe)
asante baba na mama kwa kunitunzia kipenzi changu (kipеnzi)
natamani niwe chanzo cha furaha yako (ah, kipenzi)
maana wewe ndio chanzo cha furaha yangu
nafurahi tukiongozana, toka monday to sunday
bila mungu tusingewezana, tusingefika today (i am happy)

[chorus]
happy kwa yale mungu aliyo nitendea (i am happy)
happy, maana hii siku mi niliisubiria (i am happy)
i am happy for you, and for me (i am happy)
i am happy today, today and forever more (i am happy today, today and forever)

[outro]
(i am happy)
happy kwa yale mungu aliyo nitendea (i am happy)
happy, maana hii siku mi niliisubiria (i am happy)
i am happy for you, and for me (i am happy)
i am happy today, today and forever more

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...