
obby alpha - amenikumbuka كلمات أغنية
[instrumental intro]
difficult…, but not impossible
mmm, mmh
wo_yo_yo
[verse 1: obby alpha]
na sijui niwaite waandishi wa habari
niwape zangu habari
maana kule amenitoa, hakuna alioweza kunitoa
ah, ah (oh)
aliniona nikiwa kwa mbali
nikiwa na ngumu hali
yeye akaja kuniokoa, akayafuta madoa, ah
[pre_chorus: obby alpha]
nikimuita mungu w_ngu anakuja, anakuja, anakuja
anafanya mambo mengi kwa ukubwa, kwa ukubwa, kwa ukubwa
nikisimulia yalio nikuta, nikujuta, nikujuta
ila baba kaja kuweka ukuta, ukuta, ukata
oh, oh
[chorus: bella kombo & obby alpha]
yesu amenik_mbuka (ahe, ahe)
oh baba amenik_mbuka (ahe, ahe)
(ooh, ooh, ooh)
huyu mungu amenik_mbuka (ahe, ahe)
mungu w_ngu amenik_mbuka
ahe, ahe
matopeni, topeni
kanitoa topeni ka niweka na wakuu
[verse 2: bella kombo]
his faithfulness i follow
oh
god is grace and loyal, ooh
siku na majira nazo zikafika (kubarikiwa, kubarikiwa)
jina langu bwana akaliandika (mbarikiwa, mbarikiwa)
matopeni, topeni
kanitoa topeni ka niweka na wakuu
[post_chorus: bella kombo & obby alpha]
huyu yesu amenik_mbuka (ahe, ahe)
yesu amenik_mbuk_, yesu amenik_mbuka (ahe, ahe)
huyu yesu amenik_mbuka (ahe, ahe)
bwana w_ngu amenik_mbuka (ahe, ahe)
yesu amenik_mbuka (ahe, ahe)
(ahe, ahe)
ahe, ahe
ahe, ahe
ahe, ahe (ahe, ahe)
[instrumental outro]
difficult…, but not impossible
كلمات أغنية عشوائية
- w4whath - thorns(шипы) كلمات أغنية
- minister michael mahendere - mumoyo كلمات أغنية
- kant - fragmentado كلمات أغنية
- danny vera - sugah rush كلمات أغنية
- loc saint - snakes'n'the grass كلمات أغنية
- yungmonetnba - ruh' interlude كلمات أغنية
- the sudden passion - ain't my kind كلمات أغنية
- takeru, sadkawaii & glorykeyz. - 3x2 كلمات أغنية
- kevin padron - west كلمات أغنية
- haris kostopoulos - πειρατικά (piratika) [live] كلمات أغنية