
nyashinski - tai chi كلمات أغنية
[verse 1]
uko kwa traffic bila ac
unascroll tu malele ig
niko na bed 6 uko kwa bedsitter
siku hizi sura yenyewe id
naeza drive gari mkebe na st__z
naishi side ya njeve na trees, uh!
naamkanga saa najiskia
na navaa tai kaa najiskia
luku safi juu stunnas
oud satin mood lover
nakeep time tukikutana
na namake sure unacome first
good manners, good heavens
alafu good riddance
[pre_chorus]
nakuguarantee utanimiss (wewe)
nakuguarantee utanimiss (utanimiss)
[chorus]
ukishajua mbona wote
wananiita master, ama daddy
nilizaliwa nai
hizi streets jina yangu id
inagonga kutoka far kama tai chi
inagonga kutoka far kama tai chi
inagonga kutoka far kama tai chi
inagonga kutoka far kama tai chi
kkkk kama tai chi
kkkk kama tai chi
[verse 2]
nikidrop hawaezi kwara
wanairukia ni kaa imetupwa nyara
ukiangalia unaona tu msafara
kaa siafu, na hizo tu ni dallaz
nahesabu bila hitilafu
bila wass, bila curfew (wewe)
najituma, navuna
kama kuna works ya kusk_ma nask_ma
hizi streets hazitakangi maduanzi
kuna jam ya watu wanasaka ganji
na ma youth wanaasha tu mabangi
kulalia maskio hatutakangi
ma scammer hutarget watu wa mũcatha
brother, hapa kaa rada
utadhania ni get rich quick
k_mbe zimedisappear ki abracadabra
[chorus]
wananiita master, ama daddy
nilizaliwa nai
hizi streets jina yangu id
inagonga kutoka far kama tai chi
inagonga kutoka far kama tai chi
inagonga kutoka far kama tai chi
inagonga kutoka far kama tai chi
kkkk kama tai chi
kkkk kama tai chi
[outro]
wananiita mastеr, ama my g
na hawanisaidii
hizi streets jina yangu id
inagonga kutoka far kama tai chi
gonga kutoka far kama?
gonga kutoka far kama tai chi
gonga kutoka far kama?
كلمات أغنية عشوائية
- naganawa maria - wish كلمات أغنية
- zamdane - bilan de ma vie* كلمات أغنية
- jtoo - karma's a bitch كلمات أغنية
- yoshi (ita) - wockhardt كلمات أغنية
- gibby stites - whispers كلمات أغنية
- ykk - the best club hit of 2010 (interlude 3.0) كلمات أغنية
- dalla dalla - make a wish كلمات أغنية
- gorgeous bully - sick of everything كلمات أغنية
- scotch (ru) - лето без тебя (a summer without you) كلمات أغنية
- efil - margarine كلمات أغنية