nyashinski - kabla tudie كلمات الأغنية
[verse 1]
kabla tudie, uh
kama iko kitu unataka si useme
watu wakishikanga mkwanja wana_change
so nikiomoka itabidi uelewe
si ati niko mbaya, ni vile
ambition pekee ndo najua
kufika huku niko utosheke am sure
inaeza make sense kwa hao mamwere
maybe that’s why, kupata mwingine ka mimi utangoja milele
nani ndo kichwa na nani mkia
wananiangalia na mi naona mbele
naeza retire, uh
nishakupea ma memories
nishatawala kila category
na nisha_make enough hapa kuonewa gere
[hook]
kabla tudie, uh
kitu unataka si useme (si useme)
kitu unataka si upewe (si upewe)
kitu unataka si utry (try)
kabla tudie, uh
kitu unataka si useme (si useme)
kitu unataka si upewe (si upewe)
[verse 2]
yeah
kaa ni bars unadai nakujenga
jersey number ni 1 na bado nko ndani nachenga
nliacha kupiganga roundi na pienga
nafunga window za gari na kienga, uh
mnajua nimekuw_nga ndeng’a
hata kabla enzi za ma cd changer
nkiacha hata kesho watani_remember
unaskiza professor wao, uh
kaa show itajaa itadepend na, uh
kaa bado tunakupenda, uh
kaa salo iko hio weekend na, uh
uko waks si kukaa kwa jam
ni mi tu nachagua ku_rap
trust me, commercial hits ninazo kwa chamber
nakam kupandisha ma_temper
na ma rnb unaenda kujam (jam)
[hook]
kabla tudie, uh
kitu unataka si useme (si useme)
kitu unataka si upewe (si upewe)
kitu unataka si utry (try)
kabla tudie, uh
kitu unataka si useme (si useme)
kitu unataka si upewe (si upewe)
kitu unataka si utry (try)
كلمات أغنية عشوائية
- destruction - hellbound كلمات الأغنية
- andy romano - run to love كلمات الأغنية
- haelphon - we look beautiful كلمات الأغنية
- horror city - change the game كلمات الأغنية
- mitch davis - please don't كلمات الأغنية
- roby facchinetti & riccardo fogli - prima rosa della vita كلمات الأغنية
- sloucher - bigger than me كلمات الأغنية
- tall heights - rafters كلمات الأغنية
- mks - no se كلمات الأغنية
- l.t. - trash gjennom كلمات الأغنية