nyashinski - hapo tu كلمات الأغنية
hapo tu,hapo tu,hapo tu,hapo!
(yeah,yeah,yeah,yeah)
hapo tu,hapo tu,(cedo)hapo!
[verse 1:nyashinski]
guardians tuko jaba
wengine wako miti
zetu ni ma german
zenyu pikipiki
leo tunaemda canaan
beba zigi mingi
ka kuna ma madam
beba cd mingi
ni mimi hapo backleft
paparazzi wanaifanya
usherati
nak_mbuka kabla nifuge manati
nilikuwa na wakunywa na ile cologne ya versace
siku hizo backseat ilikuwa love seat
smooth ya manual unafikiria ni automatic
tint kwa window muhathara ndo hatutaki
hapa perfection tunaifanya bila practice
mbele naona success na funga hatrick
me ndo ‘chieth’ kwa hii choo itisha harpic
tangu tuingie kwa hii michezo
si ndio heartbeat
nairobi city tuna i run kama athlete
[chorus:]
dance tu usijali hatukujudge
hapo tu,hapo tu,hapo tu ,hapo!
usijali hatukujudge
hapo tu,hapo tu,hapo tu,hapo !
[verse 2:chris kaiga ]
iseti hapo nikuhandle
alafu kam tutoе lock ka key ya mlango
nikuingize ndani ya box kama ballot
ju leo siwеzi kubali kukula tu kwa macho
ambia beenie man ,nimepata queen wa dancehall
after leo nawacha arimis na ma valon
haukai kuitisha vile unakaa kukuwa na passport
kitu ka hii ni rare ichimbe ndo uipate
mi na nyash kwa hewa ni kama jet ya private
vutia wateja ni ka amewekwa magnet
ita touch wateja hadi waitane
[chorus:]
dance tu usijali hatukujudge
hapo tu,hapo tu,hapo tu,hapo!
usijali hatukujudge
hapo tu ,hapo tu,hapo tu, hapo!
hapo tu,hapo tu,hapo tu,hapo!
dance tu usijali hatukujudge
hapo tu,hapo tu,hapo tu,hapo!
usijali hatukujudge
hapo tu,hapo tu,hapo!
[verse3: nyashinski]
weekend ndo inabisha
hii si 9millimetre
tint kwa dirisha usinimind nikipita
geuzeni vichwa injili imefika
na white tunaficha ni ka tunafilisika
weekend ndo inabisha hii si 9
tint kwa dirisha usinimind
geuzeni vichwa injili imefika
na white tunaficha ni ka tunafilisika
[chorus:]
dance tu usijali hatukujudge
hapo tu,hapo tu,hapo tu,hapo!
usijali hatukujudge
hapo tu,hapo tu,hapo tu,hapo!
كلمات أغنية عشوائية
- chad atkins - with you كلمات الأغنية
- o teatro mágico - outrora e agora كلمات الأغنية
- mode xl - kimse karışmasın كلمات الأغنية
- kent harley ones - universe كلمات الأغنية
- alfa - smoke on the block كلمات الأغنية
- monsieur grimaud - toscane كلمات الأغنية
- prufrock shadowrunner - mr. harp كلمات الأغنية
- die atzen - machwasduwillst كلمات الأغنية
- mc amor - mafia 88 كلمات الأغنية
- smolak - #hot16challenge كلمات الأغنية