nyashinski - g.o.a.t. كلمات الأغنية
[chorus]
n_y_a, s_h_i, n_s_k_i, i stay fly
g_o_a_t, that’s no lie
nabaki t_o_p till i die (mbaya, mbaya)
[verse 1]
mi siwadanganyi, bana
this time, umati imesha_decide
wanati wana_legalise marijuana, yeah
ni funny naona design nilianzishanga mki_rhyme
ndio maana naji_describe kaa fundi wa ma_career
ni nini kaa si divine?
kutoka mahali tumetoka hadi kuji_find
kwa keja zina master mbili, huyu mrasta ana akili
na hamwezi zipima ata mkisimama na ratili over there
really, niko fine, check thermometer
ug ishaamua since tz iko na pombe wana_whine
na si tuko busy, tunagombezana online mapang’ang’a
saa hiyo nchi inachomeka na hatu_care
siasa ni za tribal line
streets ni mimi na jaba na ma_idle mind
industry ilikuwa flat, kila vital sign
tu_agree, comeback yangu ilikuwa right on time
yeah
[chorus]
n_y_a, s_h_i, n_s_k_i, i stay fly (uh_huh)
g_o_a_t, that’s no lie
nabaki t_o_p till i die
[verse 2]
yeah, uh
hits mingi kaa them mushrooms na p_unit pamoja
wanasemanga mi ni kaa kikundi mtu mmoja
kando yangu, iko mtu ana kidungi kwa toja
in case wa_try pimana mvi na kocha
ni mi nasosi, kaongezeni chumvi na sosa
mind iko sharp kama suti inatosha
shughuli napiga sio lazima mzione
been here forever, na bado ni ngumu mnisome
sumu jikoni, saa ishaiva (woo)
umeona nimedumu, mwisho umekuwa believer (woo)
vichwa vigumu ndio hufika mahali nimefika (woo)
kwama na worth yako, waseme we ni diva (ye_ye_ye_ye_ye_ye_ye)
[chorus]
n_y_a, s_h_i, n_s_k_i, i stay fly (uh_huh, yeah)
g_o_a_t, that’s no lie
nabaki t_o_p till i die
[outro]
yeah
kaa mbese na skush, i’m a household name
i’m the best ever, lose never, can’t complain
already in the hall of fame and i’m still playing
g.o.a.t. sh_t, i’m forever in my own lane
brought the game back, mi na sauti, hakuna argument
made a sp_ce for you young n_ggas, msiwahi forget
na hiyo debt huwezi lipa
wengi hu_guess wanapata hit moja, wengi hu_mess, wengi huisha
wengi hutafuta shortcut, wanabaki wame_burn
took time off hii sh_t, nikai_study na nikai_learn
kaa ninayo, jua nilifanya kazi na nikai_earn
kaa ni luck, basi i’m as lucky as they come
shinchilla
كلمات أغنية عشوائية
- drain s t h - unforgiving hours كلمات الأغنية
- drain s t h - the bubble song كلمات الأغنية
- drake murphy - miracle girl كلمات الأغنية
- dramarama - anything, anything كلمات الأغنية
- dramarama - classic rot كلمات الأغنية
- dramarama - haven't got a clue كلمات الأغنية
- dramarama - i've got spies كلمات الأغنية
- dramarama - incredible كلمات الأغنية
- dramarama - last cigarette كلمات الأغنية
- dramarama - until the next time كلمات الأغنية