
nyashinski - busy كلمات أغنية
[verse 1]
ni mi damp, governor wa shin city
while you’ve been gossiping, i’ve been busy
net worth iko high ka sauti ya kindiki
ma show ziko packed huezi susu no diddy
wanasue haina issue no biggie
big shoes toto kuzi_fill sio easy
i made millionaires, wakakuwa greedy
wana njaa excess wameshindwa kuistiri
kama stripper, au mafisi
industry mzima hutry k_move kama sisi
ona tukimuok wanaingiza baridi
silver kwa wingi, shin ni wanjigi
wamejaribu kuharibu jina imekataa
nawashinda na akili na chapaa
toka na story zao za kijinga
kuja mahali kuna ma_brown ka kabinga
[pre_chorus]
n_z_letanga vile unataka nizibring (never lie)
niko busy nakugidi what you want
wako itchy wanataka kuingia kwa mix (never lie)
busy nakugidi what you want
[chorus]
niko busy, number zote busy
busy sana busy
busy nakugidi what you want
niko busy, siku zote busy
busy kama busy
busy nakugidi what you want
[verse 2]
touch down, naingia nawin na_go missing
top tier my dear, my millions i’m eating
nashiba mpaka mnajiita ma_meeting
nikiitwa beat inapatanga beating
ni slaps, mi nko na drink huoni glass
mr macheez mon nasip joh ni black
si ati ni jokes au naringa ni facts
kw_ngu ile gross w_n_lipwa ni tax
i’ve been putting in work
nimekuwa famous for yеars na ina perks
ma_young’in waligrow wakiniskia wanarap
hakuna kitu unaeza niambia naget busy
[pre_chorus]
n_z_lеtanga vile unataka nizibring (never lie)
niko busy nakugidi what you want
wako itchy wanataka kuingia kwa mix (never lie)
busy nakugidi what you want
[chorus]
niko busy, number zote busy
busy sana busy
busy nakugidi what you want
niko busy, siku zote busy
busy kama busy
busy nakugidi what you want
n_z_letanga vile unataka nizibring
nakugidi what you want
wako itchy wanataka kuingia kwa mix (never lie)
gidi what you want
[outro]
niko busy, busy, busy
never lie
busy, busy, busy
كلمات أغنية عشوائية
- jaydes - distant كلمات أغنية
- poppa razii - low key كلمات أغنية
- santiz - ассаляму алейкум (assalamu alaikum) كلمات أغنية
- vladboi - un drum aparte كلمات أغنية
- abel to worship. & tylerhateslife - the star spangled banner. كلمات أغنية
- 2824 - da mix كلمات أغنية
- bubble guppies cast - hammer-saw (let me see you go) كلمات أغنية
- cowboy diplomacy - wet كلمات أغنية
- ana guerra - érase una vez كلمات أغنية
- hana monina - lamunan كلمات أغنية