kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

nviiri - niko sawa كلمات الأغنية

Loading...

nviiri:
ooh, mmh
ooh
what a waste (instrumentals)
oh lord
the storyteller ay

what a waste
babe tumejiseti, we on the highway
tukafunga breaki, tukaanza bishana
asking,’ who is diana?” vipi mnajuana?’

i swear tumejibetray, baby tumejiseti
’cause love isn’t here right now
i guess we’ll never know(never know)
mahali hii story ingeenda
chorus:

tulichoanza (kuja tumalize)
kinachokwaza(baby ziandike)
punguza drama (baby zitushike)
washa kishida

bien:
i don’t wanna argue
ka uko sawa, mi niko sawa
ka uko sawa, mi niko sawa
aki zile vitu tulipanga
ukanishukisha number
najua una_miss hii kitanda
vile visa na visanga
aki zile vitu tulifanya
kabla ubadilishe number

(instrumentals)

bien:
bado we husemanga me ni psycho
bado mi hupiganga simu yako
nili_delete_ingi number yako
lakini bado naik_mbuka kwa moyo,yo

and i just can’t explain
thoughts of you and me keep going up and down in my brain
and you were looking for some love didn’t care for the fame
i was looking for a good time, playing the game yeah, ah

and now you’re stuck on my lane
moving in together, baby it was never the same
oh, it’s such a shame, kila saa tunagombana
lini tutaelewana? yeah

chorus:
tulichoanza (kuja tumalize)
kinachokwaza(baby ziandike)
punguza drama (baby zitushike)
washa kishida
i don’t wanna argue
ka uko sawa, mi niko sawa
ka uko sawa, mi niko sawa
aki zile vitu tulipanga
ukanishukisha number

najua una_miss hii kitanda
vile visa na visanga
aki zile vitu tulifanya
kabla ubadilishe number

(instrumentals)

i don’t wanna argue
ka uko sawa, mi niko sawa
ka uko sawa, mi niko sawa
aki zile vitu tulipanga
ukanishukisha number

najua una_miss hii kitanda
vile visa na visanga
aki zile vitu tulifanya
kabla ubadilishe number

the end

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...