nonini - crazy(remix) كلمات الأغنية
intro(bamzi)
roba we’re k!lling it this year man
remix
6mcs 8 bars each
abbas kubaff, daz, vee eye cee, chiwawa
nonini bamzigi
crazy the remix 2007
the gorillas come out at night
you better hide your daughters
hide your jewellery
its hot, what
verse 1 (bamzi)
toka ridgeways kijikani mi ni bamzi mi ni
naroga mnachizi hamnifeel mi ni
nikiwa na daz msee vic twaja
tuki-rap na the man bamzi kwa bar
we rip mics so absurd
we get in ya if you sure i’m the man by far
ukizusha naruka nakupiga ngeta
bamzi signing off man catch you later
(vee eye cee)
nikiwa mtoi nilitumia always badala ya nappy
siku hizi mi huvuta kutoka mapua nikienda hepi
kisha naenda interview ka nimevaa underwear
ka tv niko na 21- inch under there
mi sitadedi ntaenda h-ll straight na rocket
usiku ukifika mi hulala ka nime-pocket
mikono zangu ziko single, ready to mingle
si ni ma-gorilla kwa bush ka
chorus
mnanita crazy crazy crazy
mnaniita crazy na wee si daktari
ukiniita crazy ntakundunga msumari
ukiniita crazy crazy crazy
ukiniita crazy
verse 2
(chiwawa)
before ni pop unaeza niita alkaseltzer
kabla ni-rap fm stations zishani-censor
story nataka nilipoteza
nione kadaga na nebucadnezer
na need ma-guns za laser
nifanyie ma-haters wote ma-favour
ka inaezekana possibly i think maybe
tunaeza hookup hii monday
nikushow kenye uli-miss weekend
one time, two time k-mejaa ma-tension
mi ni fala mtaani naruka ledges ka benson
(daz)
usinichafue mi hufua nguo zangu zote na soda
katikati ya miguu nimebeba anaconda
ndio reason ma-mboch wenu wote wamekonda
kama ni sunday best mi sipendangi mangotha
round hii natembea mtaani na rungu tatu
moja mkononi hizo zingine mbili ndani ya boxer
just handlethe cup vile ule msee hukula ugali
bila kuvunja kidole toa ka kobole
chorus
mnanita crazy crazy crazy
mnaniita crazy na wee si daktari
ukiniita crazy ntakundunga msumari
ukiniita crazy crazy crazy
ukiniita crazy
verse 3
(abb-ss kubaff)
nishatupa mbao kibao
naeza jaza lorry k-mi na kuni za mbao
ni how?
flush vodo bottoms up, upside down
utafika ukirudi position ya up right now
uki-blackout inaitw-ngwa ku-p-ss out
same thing ita happen ukipewa k-south
hii ni nairoberry kwa beat ya roba
kama hii ni gomba abb-ss ni mogoka
speaker zikibondekanga
mi nakupa rap inayotoka
(nonini)
nikiwa mtoi nilikuwa sijai fungua napkin na pili
chupa yangu ya maziwa ilikuwa imeekewa mwarumbaini
mathe alikuwa hajai nibeba na mgongo
alikuwa ananieka kwa beta ati roundi ya mlolongo
no wonder na wander wander mtaanika bra
kujibondabonda nikitafuta vitu za mra
niliingia chemist nikanunua cd ya kuna dawa
tulishangaa lakini si manzi yako anaita nonini dawa
chorus
mnanita crazy crazy crazy
mnaniita crazy na wee si daktari
ukiniita crazy ntakundunga msumari
ukiniita crazy crazy crazy
ukiniita crazy
كلمات أغنية عشوائية
- scribble - murders كلمات الأغنية
- ryan adams - romeo & juliet كلمات الأغنية
- zxcursed - blades كلمات الأغنية
- cường seven - love is blind كلمات الأغنية
- dj denja - obeležen sam u sup-u كلمات الأغنية
- cjbeards - waiting for you كلمات الأغنية
- vic brando - see you at the border كلمات الأغنية
- kelvis - oga sir kill me كلمات الأغنية
- mykaela mcqueen - lies كلمات الأغنية
- rebelion - irreplaceable كلمات الأغنية