nobleryhmes - trust nobody كلمات الأغنية
[intro]
aaaaaaaa sheeeee
paul maker on the beat
(verse1)
back to skuli nilikuaga nina wana
walijifanya kunipenda kisa nina rap sana
smoke weed tukaunda mpaka na chama
ila nilipokufail ma niqqar wote walinikana
hata kitaa nilikaaga na masela
tulifanyaga mbanga za kutisha ili kupata mahela
tuliuzaga white kush sometime mpaka mapera
ila mwisho wa siku walinichoma nikaenda jela
baadae kidogo nikaja nikapata mchumba
nilimpa kila kitu kwanzia nguohadi mavumba
ila mwisho wa siku uchumi ulipoyumba
akaondoka na kitu alichokiacha tu ni chumba
that why i ain’t trust anybody no more
nikipata kidogo wanamyamyua mdomo
ma life like a movie j_po yako slow moo
coz kila nnapotaka kuacha najiambiaga lemme goo
lemmie gooo
nnavyospit hard like a sh_t kwenye choo
so aggressive nikiweka bars kwenye flows
maana nikiwa booth nachowaza me ni doo
(chorus)
trust n0body
ndo utatimiza ahadi
maana wengi fakers
wengi wanafake look loooo loooveee
كلمات أغنية عشوائية
- marco yolo - lonely ranger كلمات الأغنية
- doomsday productions - respect كلمات الأغنية
- jrimurmur - es kendani em كلمات الأغنية
- maintained - следы (traces) كلمات الأغنية
- isaiah mendiola - last dance كلمات الأغنية
- shaba da-ba - seductor كلمات الأغنية
- richard shelest - hate to say this كلمات الأغنية
- aol - unusual كلمات الأغنية
- sean chris - dans ma tête كلمات الأغنية
- pohlmann. - columbus كلمات الأغنية