njerae - penzi wa kasi كلمات الأغنية
[verse]
you’re telling me this, telling me that
saying that you won’t ever have to think twice
ukipata nafasi hupotezi wakati
saying that you won’t fall back, no way
and all you need to show me is just one day
ukipata nafasi hivyo ushakuwa chali
juu saa zingine tunavibe and you know that’s alright
i know you know we’ve made it through so many nights
na hiyo time inapofika, you know you’re the one mi nitaita
itika nikufikie bado unirudie
mapenzi ni ya bure utaachwa usisinzie
[chorus]
take it nice and slow, don’t get lost, oh no
kwa mwendo wa kasi, nipe nafasi
nikuonyeshe mapenzi wa kasi
niko na penzi wa kasi
kwa mwendo wa kasi, oh nipe nafasi
nikuonyeshe mapenzi wa kasi
niko na penzi wa kasi
[post_chorus]
na kinacho nichang_ya
ni nini yeyе hufanyanga na
mi bado hung’ang’ana
juu siko ready kusema kwa heri no
na kinacho nichang_ya
ni nini yеye hufanyanga na
mi bado hung’ang’ana
juu siko ready kusema kwa heri
[bridge]
ooh ohh oh oh, ooh ohh oh oh
ooh ohh oh oh, ooh ohh oh oh
[outro]
kwa mwendo wa kasi, nipe nafasi
nikuonyeshe mapenzi wa kasi
niko na penzi wa kasi
kwa mwendo wa kasi, oh nipe nafasi
nikuonyeshe mapenzi wa kasi
niko na penzi wa kasi
كلمات أغنية عشوائية
- monduba crew - pelas ruas كلمات الأغنية
- lil sae - trappin hard كلمات الأغنية
- muslim مـسـلـم - nsaw lahmoum | نساو لهموم كلمات الأغنية
- hrtbrkjay - trillmatic كلمات الأغنية
- jasiri x - strange fruit (class of 2013) كلمات الأغنية
- kaynbock - papierflieger كلمات الأغنية
- dj skorp - touche à rien كلمات الأغنية
- nino gotti - 2 easy كلمات الأغنية
- rohff - fais c'que j'te dis كلمات الأغنية
- henny vrienten - dicht bij كلمات الأغنية