
nine c - penda jirani كلمات أغنية
Loading...
acha fitina
acha kuteta jirani yako ndugu yangu
kwa sababu shida iki kupata
yeye ndiye ataku sahidiya wa kwanza
oooh ooh
mungu anasema
penda jirani
penda jirani
acha chuki acha uongo
ina leta matenganyo kati jirani
tafuta masikilizano
oooh ooh
mungu anasema
penda jirani
penda jirani
mwenye anapenda ndugu yake
ana ishi katika mw-ngaza
ooh oh
uta sema jee una penda mungu
kama una chuki kwa jirani
oooh ooh
mungu anasema
penda jirani
penda jirani
wewe ambae ume pata neema
yaku sikiya mwimbo iyi badirika
ukisha mpenda
ata kama yeye aku pendi
uta barikiwa na mungu
penda jirani jinsi unaji penda
timiza neno la bwana mina kuomba
usi chunge wakusifu kwa unacho tenda
penda kwa ukweli popote unapo enda
كلمات أغنية عشوائية
- carmen sandiego de montevideo - ocupaciones y oficios كلمات أغنية
- uzielito mix - triple p كلمات أغنية
- twice - stronger كلمات أغنية
- leonard cohen - thanks for the dance كلمات أغنية
- melody day - 어떤 안녕 (another parting) كلمات أغنية
- don tetto - no digas lo siento كلمات أغنية
- nicotine (cover artist) - far away كلمات أغنية
- cast my cares - cliff dive كلمات أغنية
- the police - i shall be released كلمات أغنية
- dead fish - a urgência كلمات أغنية