
nikki mbishi - sorry j.k. كلمات أغنية
[chorus]
it will one day make sense
nikisema hakuna president kama j.k
tanzania ina ku_miss yaani daily
kwa niaba ya wabongo, i’m sorry j.k
it will one day make sense
nikisema hakuna president kama j.k
tanzania ina ku_miss yaani daily
kwa niaba ya wabongo, i’m sorry j.k
[verse 1]
yeah, i’m sorry j.k
nimeona tu niseme, mzuka huu niliupata nikiwa juu ‘kijenge
mikopo hakuna tena, huendi chuo kikuu kizembe (uh_huh)
bungeni w_n_lewa, wanabonga tu king’eng’e
wakitw_nga, wanatamba
wakisanda, wanatubu
simuoni tena jay tangu akutane na sugu
scorpion amegeuka ghost face mwema
aliyeota rais atakufa anaitwa godbless lema
r.c. na wasafi, uswazi ma_defender
hapa kazi tu, mtaani njaa kali sio sinema
ka kuisoma tushaisoma namba
ungegombea awamu ya tatu, ungekuwa bora labda
[chorus]
it will one day make sense
nikisema hakuna president kama j.k
tanzania ina ku_miss yaani daily
kwa niaba ya wabongo, i’m sorry j.k
it will one day make sense
nikisema hakuna president kama j.k
tanzania ina ku_miss yaani daily
kwa niaba ya wabongo, i’m sorry j.k
[verse 2]
ilianza bibi cheka, wengi walikuita babu cheka
hawakujua kua nyakati zinakuja na kusepa
ulivunga wa kibeza kuwa unapenda sana bata
na kiki ka makonda za wasafi kuwafata
wabongo watak_mbuka kwenye sekta ya michezo
mpaka taifa stars (?) nayo ikaonyesha mauwezo
ukaongeza vigezo, nyenzo, matengenezo
leo samatta ndio kinara na hachezi soka la dezo
tuzungumze magazeti (yeah)
bunge wana_edit
hakuna mikakati bwana, k_mbe wana_act
demokrasia, demo_ghasia za field_force
wengi wanahofia ukweli kuwaambia, unju siogopi
ma_benki yanafilisika, madeni yanamiminika
hali imekuwa ngumu hadi wageni wanasikitika
(?)
yaani sio fresh, inatisha
bar mwisho saa sita, sikuhizi hatukeshi kabisa
[chorus]
it will one day make sense
nikisema hakuna president kama j.k
tanzania ina ku_miss yaani daily
kwa niaba ya wabongo, i’m sorry j.k
it will one day make sense
nikisema hakuna president kama j.k
tanzania ina ku_miss yaani daily
kwa niaba ya wabongo, i’m sorry j.k
[verse 3]
kila taarifa ya habari leo (?)
pesa imepotea kimazingara ‘david blaine
waathirika hawaelewi juu ya mipango ya bukoba
tetemeko ‘wasije kula michango ya msoga
tumekosa, si tupe laana correct (uh_huh)
weka kando chama, tuwe wana_connect
hela imefichwa nyuma ya pazia la viwanda
[njoo?], uone tanzania ya vibanda
uone chafu moja na askari mia wakisanda
chocho za panya_road, mixer pwia, lami, ganja
kuna nyakati niliku_diss j.k
now, i’m calling for the peace, d_mn
we miss j.k
[chorus]
it will one day make sense
nikisema hakuna president kama j.k
tanzania ina ku_miss yaani daily
kwa niaba ya wabongo, i’m sorry j.k
it will one day make sense
nikisema hakuna president kama j.k
tanzania ina ku_miss yaani daily
kwa niaba ya wabongo, i’m sorry j.k
كلمات أغنية عشوائية
- astara - goodbye! كلمات أغنية
- paper lanterns - blaming it on the weather كلمات أغنية
- сюзанна (siuzanna) - ломаная (broken line) كلمات أغنية
- yuragi ( 揺らぎ) - soon كلمات أغنية
- metele que son pasteles - empleados, empresarios y el nuevo gobierno كلمات أغنية
- alain chamfort - le désordre des choses كلمات أغنية
- amara - tokyo lys كلمات أغنية
- babyxphysco - say what ?? (chinese version) كلمات أغنية
- solitario - aversión suprema (s. i d. s. ii) كلمات أغنية
- legible - what's poppin' freestyle كلمات أغنية