kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

ngwair - war kitaa lyrics

Loading...

[intro]
cowbama
cowbama
cowbama
woo!
ha, ni cowbama
ba_babuu wa kitaa
yeah, marco_chali
m.j. baby
holla
cowbama
cowbama
cowbama
yeah, ch_ch_, yeah, hey, hey i mean

[chorus]
[drop]

[verse 1: ngwair]
yo, sim_simmer ‘huu sio muziki wa kupima
who am i? ‘jembe, nalima
kitu gani sina? (uh_huh, yeah)
vocal au vina? (uh_huh)
jina?, hata heshima, sio beamer
mi na hasira ila nime chill out (what?)
ndoto zangu kuja kuishi kwenye villa, ‘ila
kuna wajinga ndio wanataka eti k_mshusha huyu mr (cowboy)
hawajui cowbama ndio surname ya freestyle (haha)
sa vipi watoto wadogo wanataka kupima hizi level?
nawak_mbusha “please don’t ____ with the devil
[walio (?) remix, n_gga ni rap]
hata mungu anaweza abudiwa kwa hip_hop
mbona haiuzi?, kivipi isiniuze (uh_huh)
mi nakaza nyuzi (yeah)
wewe kama haikulipi, ni mpuuzi
na east zoo wanaamini king ndio mimi
nnaye wafanya waka_dance kwenye hall ka (?)
a.k.a mimi
(ngwair)
[chorus: drop]

cowbama
wa kitaa
marco_chali, m.j
freaky

[verse 2: babuu]
full ma_d_ckies, ma_converse
ma_khaki, haunitaki, mimi ni gangster haunikuti mchafu
full niko smart, nime nyuti
mitaa ya kati, mi nausaka mnoti
haunikuti nime_ceasе, muda wote macho wazi
natokea uswazi, so usiniletе makuzi
mi ni gangster, n_gga
ila mpole kama twiga
kama unajifanya umepinda, unaiga
mi nakuona mbwiga, wewe uta_dead
kwenye beach kama long, mwisho wa club, tuna bang
bang!
nanoga kwa sana, sina usiku wala mchana
kichwani ma_bandana kama juelz santana
nawakilisha kwa sana na ndio maana mi nachana
ile ki_gangster
mwana, wanadata hadi wasichana
magumashi yanaendelea kitaani, babu mi ndio meya
mperampera na mamwela kitaani ninapo tokea
what?
mi ni gangster, n_gga
[chorus]

[verse 3: ngwair]
ka we ni snitch basi kmamaako ‘kaa mbali
haters juu ya beat ya marco nawaacha chali
wanatupimia hapa nasi tushajiona mbali
kama un_z_ma kwa bapa, basi usiwape misumari
studio kama kwa jay (uh_huh)
daily niko salama
ku_hustle ni everyday, kesho zaidi ya jana
ni ngwair wa east zoo na babuu wa kitaa
yeah (?) dupper zaidi ya mastaa
ndani ya jiji la dar, ndio tunavyoishi
[haina bwebwe] nakushangaa, ndio zetu wabishi
hatakama hatuna cash, fresh
mpango wa kuwaka (?) sio deni, sio kesi

[chorus]

[outro: drop]

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...