kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

ngwair - tz hustler كلمات الأغنية

Loading...

[intro]
ngwair (yeah)
ma_cowboy (yeyo)
na j_son (what up, son)
ni chemba squad (na east zoo)
yo, hermy b (yeah)
yo (?), man

[hook]
bata kila sehemu, sehemu
(hey, hey)
bata kila sehemu, sehemu
(hey, hey)
bata kila sehemu, sehemu
(hey, hey)
bata kila sehemu, sehemu
(hey, hey)
haijalishi kiwanja gani, tunakula
bata kila sehemu, sehemu

[chorus]
mi na hustle, mi na hustle, my man
nasaka mahela, napambana, ‘ndani ya hili game
kinachofuata ni kujiachia na mademu
nikikamata mabovu, na kula bata kila sehemu
mi na hustle, mi na hustle, my man
nasaka mahela, napambana, ‘ndani ya hili game
kinachofuata ni kujiachia na mademu
nikikamata mabovu, na kula bata kila sehemu
[verse 1]
na_na_na_na
na hii ndio verse one
bado mchizi na life na fight
still hustlin, (hustlin) ‘day and night
siwezi kubali niwe broke, ‘hata dini yangu hainiruhusu
sio nikiwa tu kitaani, hadi ndani ya mahabusu
na machizi wenye pay hata zaidi ya huyo jack pemba
wenye real love, ka dark master mwanachemba (holla!)
sio ma_snitch fulani, fulani
wanaongea, ongea eti kisa sijui watoto wa fulani
wakati si tushawalea, tushawatoa
mara nyingi sio chache
leo wanapo talk sh_t, nawaona kama vicheche
vile nnavyo wakanyaga kama sole za viatu
ni kawaida ku_mbonji na wawili watatu, ‘easy
ili mradi mchizi niwe na mapene
awe model, miss, ‘atacheza tu hilo sebene
so, mi nnakuomba tu punguza kuongea
we weka mkwanja w_ngu mezani
ndio lugha niliyoizoea
holla back

[chorus]
mi na hustle, mi na hustle, my man
nasaka mahela, napambana, ‘ndani ya hili game
kinachofuata ni kujiachia na mademu
nikikamata mabovu, na kula bata kila sehemu
mi na hustle, mi na hustle, my man
nasaka mahela, napambana, ‘ndani ya hili game
kinachofuata ni kujiachia na mademu
nikikamata mabovu, na kula bata kila sehemu
[verse 2]
na_na_na_na
na hii ndio verse two
nahitaji kuishi nnavyo taka
nizunguke hii dunia utadhani haina mipaka
‘kwani, wengi tu, wanakula hizo good times
lakini naamini walianza ku_hustle long time
pengine toka enzi zile mademu wanavaa [laisoni]
ukiwa na pay, bongo yenyewe ka mamtoni
utakula bata utadhani uko ndani ya hollywood
muda wote uko happy (what?), uko kwenye mood
no more stress, muda wote uko fresh, uko clean, yes (woo!)
dress to impress, na
kama hauna kitu we usilete upambe
usije ukamegewa white kisa ofa za gambe
kwani, ‘mkono mtupu haulambwi
ukiwa na hela, hauwezi kwenda jela sijui kwa kesi kama za bange (nope)
na mjini shule, so we tafuta mchongo
piga bingo hata zaidi ya hao mafisadi wa bongo
nah mean?

[chorus]
mi na hustle, mi na hustle, my man
nasaka mahela, napambana, ‘ndani ya hili game
kinachofuata ni kujiachia na mademu
nikikamata mabovu, na kula bata kila sehemu
mi na hustle, mi na hustle, my man
nasaka mahela, napambana, ‘ndani ya hili game
kinachofuata ni kujiachia na mademu
nikikamata mabovu, na kula bata kila sehemu
[hook]
hey, hey
bata kila sehemu, sehemu
hey, hey
bata kila sehemu, sehemu
hey, hey
bata kila sehemu, sehemu
haijalishi kiwanja gani, tunakula
bata kila sehemu, sehemu

[chorus]
mi na hustle, mi na hustle, my man
nasaka mahela, napambana, ‘ndani ya hili game
kinachofuata ni kujiachia na mademu
nikikamata mabovu, na kula bata kila sehemu
mi na hustle, mi na hustle, my man
nasaka mahela, napambana, ‘ndani ya hili game
kinachofuata ni kujiachia na mademu
nikikamata mabovu, na kula bata kila sehemu

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...