kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

ngwair - speed 120 lyrics

Loading...

[intro]
yeah
cow_obama
na chid benz
(yeah)
na east zoo y’all
ch_ch_ch_ch_chemba squad ya’ll
yeah
ni kama kawa records
(woo!)
ngwair, yeah
i see you, baby
jof master
holla, yeah

[chorus]
toka k’nyama mpaka east zoo
nikiwa na chemba
speed 120 kwenye kona, shaaa!
toka k’nyama mpaka east zoo
nikiwa na chemba
speed 120 kwenye kona, shaaa!
toka k’nyama mpaka east zoo
nikiwa na chemba
speed 120 kwenye kona, shaaa!
toka k’nyama mpaka east zoo
nikiwa na chemba
speed 120 kwenye kona, shaaa!
[verse 1: ngwair]
yo, ngwair ‘ni albert a.k.a. ngwair
unajua simple man
(simple man)
si bitozi, sio brotherman
(yeah)
nasisitiza hii hip_hop sio ubishoo
na nnapofanya show ‘kazi yangu ni ku_flow
usishangae nisipo panda na ma_stage show
waulize hao mabitozi kujipodoa hawaoni soo?
mwishowe watakata viuno stejini ka ray_c
au watakuja kuiga hata (?) lady jaydee
tun_z_miwa na mademu wengi, j_po hawatupendi
au labda kisa hatupigi show na live band?
hip_hop ni [drop]
sio gita ni dj
(yes, yes, y’all)
na tuna rock away, ‘na nna spit kama wiper
(uh)
moto kama lighter, a.k.a. piper
(what?)
niite titan, najua unaniona tozi ila mi ni bonge la msela
sema mwenye nyota ya staa, na of course na hela
unataka ujifanye gangster huku mtoto wa kishua
(yeah)
life yenyewe ya mtaa hujaijua, un_z_ngua
tunakamua ile ile mia ishirini babaake
(kwenye kona wafunge mkanda, eh?)
haha, yeah ndio maanake, haha
(holla)
cha msingi ni ku_make more dough
piga deal yeyote sio lazima uwe ku_flow
oh, oh, oh, oh_no
ni sawa unakamata kicheche afu ukakosa condom, hiyo ni soo
[chorus]
toka k’nyama mpaka east zoo
nikiwa na chemba
speed 120 kwenye kona, shaaa!
toka k’nyama mpaka east zoo
nikiwa na chemba
speed 120 kwenye kona, shaaa!
toka k’nyama mpaka east zoo
nikiwa na chemba
speed 120 kwenye kona, shaaa!
toka k’nyama mpaka east zoo
nikiwa na chemba
speed 120 kwenye kona, shaaa!

uh, yeah
haha
big boss, big boss, ‘takin over, uh
la familia

[verse 2: chid benz]
nipe dough, nikupe flow
huu ukali zaidi ya before
slow_slow, taratibu, ‘wanao feki wana_blow
baa!
(baa!)
alberto pembeni na chid’ 120 na mashine tunada_
ch_ch_ch_ch_chyeah
mikato ina matter tu, na nata kamata tu, wanadata nawakamata, siishiwi nawapa [doo]
mpaka [walio (?) rap] wanashangaa
wananunua madini, nilipo kaa mi ‘yamezagaa
life langu liko simple, siweki vioo ‘unione ndani
na ndio maana naweza vaa suti, nikanukia majani
kidogo nnacho pata naridhika, sina tamaa’
na gangamaa, sio mshuma nizime huku nimesinyaa, ah
na roho safi kama moyo wa shujaa
mola anaye linda kwa kila jema na kila baya
washkaji wamenitupa, huku ubingwa nnao mimi
enzi kabla sijautwaa ‘mtetezi nilikuwa mimi
nina nguvu za kutosha, bora uwezo sio bling
hata tippo ana brand nembo yangu ‘mi ndio king
mi ndio_, uh, uh, uh
(nina nguvu za kutosha, nguvu za kutosha)
hata tippo ana brand nembo yangu ‘mi ndio king
baa!
[chorus]
toka k’nyama mpaka east zoo
nikiwa na chemba
speed 120 kwenye kona, shaaa!
toka k’nyama mpaka east zoo
nikiwa na chemba
speed 120 kwenye kona, shaaa!
toka k’nyama mpaka east zoo
nikiwa na chemba
speed 120 kwenye kona, shaaa!
toka k’nyama mpaka east zoo
nikiwa na chemba
speed 120 kwenye kona, shaaa!

[verse 3: ngwair]
yeah, ngwair
yeah, kuna wengine kwenye game kifupi ndio washapotea
ushaambiwa usiyaguse maji kama huwezi kuogelea
cheki wanavyo tapa, tapa ‘hawana pakutokea
wameishiwa cha kuongea, wamebaki k_m_diss ngwair
ila kipaji changu sio kicheche ‘tunacho_share
na hata nikifa leo, pengo langu halina spare
cause ‘mi ndio mi, na hatuwezi kuwa pea
so nageuka mac reagan nawaambia_
(“endelea”)
cause ‘mi mwenyewe downtown kitambo
nerve za jenerali labda we ndio mgambo
wazee wa speed, shaaa!
ni chemba na dark (?)
kila siku, sikukuu kama ya christmas na eid
no playa haters ‘wakizidi kuwaka,waka (woo!)
nawapa dole la kati, now go to h_ll mother_____
kila pande ya dunia tun_z_di ku_represent ‘kwani
wajanja wote wana show full respect yaani

[chorus]
toka k’nyama mpaka east zoo
nikiwa na chemba
speed 120 kwenye kona, shaaa!
toka k’nyama mpaka east zoo
nikiwa na chemba
speed 120 kwenye kona, shaaa!
toka k’nyama mpaka east zoo
nikiwa na chemba
speed 120 kwenye kona, shaaa!
toka k’nyama mpaka east zoo
nikiwa na chemba
speed 120 kwenye kona, shaaa!

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...