ngwair - singida dodoma كلمات الأغنية
yo, akiwa anaenda ye ‘singida (dodoma)
akiwa anarudi ye hupeleka tu singida
(dodoma)
yo, anaipeleka hadi singida na kisha tena dodoma, na twende tena singida
(dodoma)
man, wish ungemuona
yaani anavyo jitingisha jinsi nyuma alivyo shona
yo, singida
(dodoma)
yeah, mtoto amenona
na anavyotetemesha zaidi hata ya transformer
[verse 1:ngwair]
kwa jina ni irene, huyu bonge la queen
mtoto wa ku_shine kwenye cover ya magazine
age yake ni kama 20, no ’19? yes
you can tell by the pretty face
ana figure ya ki_bantu, huyu mtoto balaa
jinsi alivyo jaa, jaa na anavyo ng’aa, ng’aa
ana rangi ya pekee, na anajua kuvaa
maswali mengi najiuliza juu ya huyu mama
kama’ wapi amepata hili bonge la smile, man
(she got it from her momma)
yeah, like juvenile
ila mi nadata na hizo two big tings
vipi naweza penya ndani ya hiyo g_string, chini ya hiyo bra
na hiyo tight blue jeans
ntakupa hata vumba, nipangishe please
sitolipa kodi ya mwaka bali kodi ya maisha
nadhani ushanifahamu, nini ninacho maanisha (no)
nataka kukuoa (true)
yeah, you uko juu, baby beau
yaani unapo ongea (uh_huh)
mi roho, roho juu ‘ila zaidi ukitembea huwa ndio balaa tu
yaani singida,(dodoma)
(dodoma)
man, wish ungemuona
yaani anavyo jitingisha jinsi nyuma alivyo shona
yo, singida
(dodoma)
yeah, mtoto amenona
na anavyotetemesha zaidi hata ya transformer
singida, dodoma
man, wish ungemuona
yaani anavyo jitingisha jinsi nyuma alivyo shona
yeah, singida
(dodoma)
yeah, mtoto amenona
na anavyotetemesha zaidi hata ya transformer
yow
[verse 2: ngwair & dully sykes]
na akiwa anaenda utadhani ndio anarudi, man
huyu mtoto sometimes ana makusudi yaani
tukiongozana napenda akitangulia
kuna movie huwa kachaa siichoki kuiangalia
ile singida,(dodoma)
huku nikimuimbia
mtoto anavutia, sio sura mpaka tabia pia
my dear, kama ni asilimia ‘100, nakuongezea zangu 20
kama d_fresh ‘anapenda k_muita mdoli
wengi nimewapiga chini toka nimpate huyu shawty
sik_mbuki hata nilikuwa na w_ngapi
wenye cash wako safi, ma_auntie, ma_doo wa masaki
ila’ anawapoteza wote kwa chati
kuwa nae tu ghetto ni zaidi ya bonge la party, man
ni zaidi ya feni anavyo kata upepo, huh
(ngwair, you’re a liar)
(?) na wish ungekuepo yaani
si ushamuona anavyo kata kwa floor?
basi kwa bed ndio soo, kachaa uta_blow
don’t stop, don’t stop, baby give me some more
huwa napenda tu vile na beats unavyo go hard
yaani singida,(dodoma)
man, wish ungemuona
yaani anavyo jitingisha jinsi nyuma alivyo shona
yo, singida
(dodoma)
yeah, mtoto amenona
na anavyotetemesha zaidi hata ya transformer
singida,(dodoma)
man, wish ungemuona
yaani anavyo jitingisha jinsi nyuma alivyo shona
yeah, singida
(dodoma)
yeah, mtoto amenona
na anavyotetemesha zaidi hata ya transformer
[dully sykes outro: drop]
كلمات أغنية عشوائية
- the cribs - don't you wanna be relevant? كلمات الأغنية
- gpt association - the difference كلمات الأغنية
- melan - mon ange كلمات الأغنية
- vesterinen yhtyeineen - intiaanit كلمات الأغنية
- stacy barthe - eyes wide shut كلمات الأغنية
- sia - the real thing كلمات الأغنية
- richard cheese - (you drive me) crazy كلمات الأغنية
- jean-claude dreyfus - crève-cœur كلمات الأغنية
- afgun - 5am stuttgart كلمات الأغنية
- wiktor king - nienawidzę życia كلمات الأغنية