ngwair - happy birthday n'ge كلمات الأغنية
[intro]
what?
ngwair
na east zoo y’all
na chemba squad ya’ll
na p_funk
[pre_chorus]
happy birthday
happy birthday
happy birthday
(uh_huh, yeah)
ngwair, what?
na east zoo y’all
haha
[verse 1: ngwair]
iwe januari to december
najua zenu pia wote mn_z_penda
birthday kw_ngu mi huwa ni siku ya kipekee
kila mwaka huwa nafanya bonge la sherehe
tunaanzia ghetto wachache tu
kama machizi wa k’nyama, na wa east zoo
na masista_doo, na wote ma_vip
kama bongo records wakiongozwa na p
na washkaji wote nitawapa kadi
hazina malipo mradi tu uje na zawadi
na msishangae ghafla nitapo vaa nepi
mjue tunaimba wote ni muda wa kukata keki
[hook: mez b & ngwair]
happy birthday to you
yeah, kila mmoja abebe kipande chake tena
happy birthday to you
ha_ha (?)
[verse 2: tid & mwasiti]
leo ndio siku yako ya kuzaliwa
hatuna budi kuwa na furaha, uchangamfu ndio siku bora kuliko zote
nnapo kuwa na wazazi, ndugu na majirani
inaleta picha nzuri, yeah
[chorus: mwasiti & tid]
happy birthday
happy birthday
happy birthday
yeah, happy birthday
happy birthday
happy birthday to you
happy birthday
happy birthday to you
yeah
[verse 3: ngwair]
yo, ni sherehe ya kitoto ‘ila kw_ngu ina uzito
kama ni christmas ‘siku aliyo zaliwa kristo
yaani ‘naona bahari sio mwisho wa safari
ila (?) tu_park gari tu kidogo tuvinjari
wapenzi wa pombe kali, lеo ni shwari ‘msijali
kwenye buti nna mizinga ya hatari
niko na maspidi wenyеwe mnatukubali
yaani (?) ndani ya nyumba, tutapiga sana mistari
anaye kunywa bia ‘waiter naomba umpe kreti
mambo ya cash, p_funk ataku_check
mi nikifika tutie maguu club
kama gari hazitoshi nitalipa kila cab
mradi leo hii wote tukasherekee my birthday, my birthday
yaani mradi leo hii wote tukasherekee my birthday, my birthday
[chorus: mwasiti & ngwair]
happy birthday
(happy birthday)
happy birthday
(happy, happy birthday)
happy birthday
woah, woah, woah, woah
happy birthday
yeah, ‘ngwair na east zoo, yeah
happy birthday
[verse 4: ngwair]
ukishangaa club ilivyo jaa
masela na mademu wote wanang’aa
demu wako amependeza, mnacheza
namkonyeza, akitabasamu ‘jua umeshampoteza
nimeshazama nae ndani ya taxi
wakati daz baba akinyonga nyasi
tuna_blaze, njiani kwenda hoteli
kwani mitungi, mikasi bila msosi utafeli
na keep it ill
(?) chip them breakfast and sip (?)
ausio, ma?
(true)
nalala ghetto ma, hakuna kushangaa
vinywaji vimejaa yaani zaidi hata ya bar
we kunywa wine kisha weka chini glass
romance, ching_ching, mikasi
na hakuna cha kuzuga na movie
moja kwa moja tunajirusha on my jacuzzi
yeah, ngwair
[hook: mwasiti]
nashukuru wazazi w_ngu
nashukuru wazazi w_ngu
bila nyie mimi nisingekuwepo
nashukuru wazazi w_ngu
namshukuru mola w_ngu
bila yeye mimi nisingekuwepo
[outro: mwasiti]
happy birthday
(siku ya furaha)
happy birthday
(siku ya upendo)
happy birthday
(siku ya kuzaliwa)
happy birthday
jirani, ndugu wote
wote tufurahi
yapasa tu (?)
(happy birthday)
siku ya kuzaliwa, ah
كلمات أغنية عشوائية
- jfa - middle america كلمات الأغنية
- jfa - my movie كلمات الأغنية
- jfa - no more excuses كلمات الأغنية
- jfa - nightmare كلمات الأغنية
- jfa - nowhere blossoms كلمات الأغنية
- jfa - out of school كلمات الأغنية
- jfa - people's revolutionary party كلمات الأغنية
- jfa - pink slip كلمات الأغنية
- jfa - preppy كلمات الأغنية
- jfa - ramp song كلمات الأغنية