ngwair - bado nimo كلمات الأغنية
(instrumentals)
[verse 1: ngwair]
nasikia raha jinsi nilivyo staa
ni zaidi ya robert deniro, mimi ni top in dar
najulikana dunia nzima
na kila kona wanataja langu jina
sio tu watu wazima
hadi watoto, ‘majina mengi (uh)
a.k.a. moto (what?)
a.k.a. umeme (what?)
a.k.a. miwaya (what?)
a.k.a. ngoma, ‘mziki usio na dawa (aya…)
lakini sina ubaya
na sibagui nchi za afrika au nchi za ulaya
ni wengi tu nishawaondoa duniani (yeah)
ni wengi bado na watesa vitandani (ha_ha)
acha idadi kubwa ambao wapo safarini
sijali watoto wa kishua au unapoanza uswahilini (unapoa uswahilini)
si mshajuwa nazungumzia nini?
ukimwi?
ukimwi, ukimwi
yo, a.k.a. mimi
natesa sana nnapo kuingia mwilini
wakina gono, kaswende ‘wote baba yao mimi, amini
mi ndio kubwa la maadui
na leo nakuja kwako usizuge kama hunijui, holla
[chorus: t.i.d.]
ushani_diss kwenye radio
lakini bado nimo, nimo
ushani paka kwenye video
lakini bado nimo, nimo
madawa mengi yananishindwa mimi
lakini bado nimo, nimo
na imani nitamaliza tu
lakini bado nimo, nimo
[verse 2: ngwair]
acha kujivunia kwa ulicho nacho
kawaida yangu huwa sionekani kwa jicho (woo!)
kwa mtu yeyote mi nakaa
mzima au kichaa, hata hao mnao waita mapapaa
maza au sista_doo anaye ng’aa (anaye ngaa)
sijali mwembamba au ana bambataa (woo!)
wenye miguu ya vimini, ma queen na wote wenye majina makubwa mjini (ma supastaa)
wenye fedha, viongozi wa dini
nikiwa pata hao nasambaa kiulaini
nikisaidiwa na wale wasio pima
katika campaign ya kuongeza ma yatima (what?)
na staili nyingi naweza nikakupa mfano
kwenye ‘nyembе, vidani, zaidi kwa sindano (yeah)
timing yangu nyingine ni kwenyе mikasi
na hapo ndipo wengi walipo nipa nafasi
[chorus: t.i.d.]
ushani_diss kwenye radio
lakini bado nimo, nimo
ushani paka kwenye video
lakini bado nimo, nimo
madawa mengi yananishindwa mimi
lakini bado nimo, nimo
na imani nitamaliza tu
lakini bado nimo, nimo
[verse 3]
nimesikia kuna watu hawazimii
kama huyu mama terry, ‘sijui hanif_gilii (hanif_gilii)
kila siku ananiua kwenye t.v., magazeti, redio
wanadhani sisikii
wanachafua jina langu kwa jamii (yeah)
nnacho shukuru wabongo wengi hawasikii (right)
wako (?)
yeye na honey wake wote kwa staili hii
na kila nikiwavizia, ‘wanabana
kila wakikutana wana tumia dhana
wapo wanao amini dawa zipo
(?)
ni jana tu nimemkamata rehema na (?)
nikisahau ujue narudi tena (woo!)
na kachaa bado nimo (bado nimo)
na ukiniachia nafasi tu, umejichimbia shimo
[chorus: t.i.d.]
ushani_diss kwenye radio
lakini bado nimo, nimo
ushani paka kwenye video
lakini bado nimo, nimo
madawa mengi yananishindwa mimi
lakini bado nimo, nimo
na imani nitamaliza tu
lakini bado nimo, nimo
[outro: ngwair & t.i.d]
yeah, (yo)
nani mwingine wakufanya kama hii (kama hii)
zaidi ya p na mi, (na mimi)
ngwair, (ngwair)
a.k.a. mimi (top in dar)
natisha kama ukimwi, ha_ha
east zoo y’all (mm, no, no)
bongo records, (bongo records y’all)
utakufa kilo mbili
utaua bendi, kilo mbili, utaua bendi
كلمات أغنية عشوائية
- genesis - i can't dance (live) كلمات الأغنية
- speir - don’t ask me about it (nights vol. 2) كلمات الأغنية
- shirley bassey and awayteam - (where do i begin) love story كلمات الأغنية
- connect-r - vrajitori كلمات الأغنية
- $inu$hy - psychopath كلمات الأغنية
- k.a.a.n. - the thrill is gone كلمات الأغنية
- dubstar - redirected mail كلمات الأغنية
- goodnight, texas - a bank robber's nursery rhyme كلمات الأغنية
- diggy dex - het ligt nooit aan jou كلمات الأغنية
- rafa pons - nos vamos conociendo كلمات الأغنية