kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

ngoi wa mangai - sirudii tena kuvuta كلمات الأغنية

Loading...

unataka nice verse
sound lable is my sp_ce
nisachi kwani knowledge is price less
hii ni hip hop rap
jamaa ukitaka pop nenda kajiunge na spy girls
nasikia huitaji funuo
sasa usiweke kitasa

kama huitaji funguo
ufuaji ndo huo na soko watu
peleka ubaguzi wa rangi kwenye ufuaji wa nguo
chunga promoter ni carl peters
usije ukajuta uku ukilia yuko wapi jesus??
mayai kibao na upati viza
ni sawa una macho na huwezi kuona ndani ya giza
baba wa maarifa baba wa taifa
nyerere ukiniona mimi jua umefika kilele
unaweza ukawa unapiga myayo
lakini kiziwi anaye kutazama
akahisi tu unapiga kelele

chorous 1
chukua au utupe
ushtuke ila uk_mbuke
kuwa huu ni ushauri wa bure
chukua au utupe
ushtuke ila uk_mbuke
kuwa huu ni ushauri wa bure
chukua au utupe
ushtuke ila uk_mbuke
kuwa huu ni ushauri wa bure
chukua au utupe
ushtuke ila uk_mbuke
kuwa huu ni ushauri wa bure
verse (2)
ushauri taendelea kukupa
sigara ni hatari kwa afya yako
kwa maelezo zaidi endelea kuvuta
weka nukta ufa hauna ujirani na mwili
huwa tu unautembelea ukuta
chunga usije poteza muda
usione bubu haongei ukahisi labda alipoteza lugha
k_mpoteza yuda ni kupoteza ushahidi
zaidi ya kesi ya polisi ambaye alipoteza mfungwa
mi ni emcee nishapitia mengi sana kwenye game hii
ila usije lalama
please help me!!
nataka niwe nawewe milele ray c

chorous 2
nikiwaambia mimi ni mkali mkausheee
ngoi wa mangai mi ndo baba wa wazee
kuchana hamjui nitawapa mistari mkauzeee
dizza mi ndo baba wa wazee
acha ni wakanye wajeuri
mi ndo baba wa wazee
wanavozingua wanafanya niwajuee (who you realize)
mi ndo baba wa wazee
verse (3)
begi mgongoni sokota dredi
fegi mdomoni
huwezi kutupa utumwa
kwako huwezi ukoloni
lenzi haioni ukiwa na pesa utakabwa na wengi kohoni
jenzi ndotoni
mtenda mema haendi motoni
jua kali ukiwa na genge
mpenzi haendi sokoni
tenzi rohoni
j_po kuna mengi toka enzi
mk_mbuke mungu huku ukimuenzi moyoni
stanza ni moto
moto umebanza
kwenye soko siko loggo
nahii sio vocal ya kwanza
msoto umetanda
punguza hio mitoko ya viwanja
mzazi mwambie mtoto asipite chocho za ganja
ngoi wa mangai an dizza nabuni mpaka loggo ya radha
nashangaza sijamaliza huku wanoko wameanza
ah! hili ni somo hutaki ila nakupa
utazunguka sana kutafuta mshkaki wenye mfupa
itc deonislyimo on ze mic
(end)

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...