
ndung'u mbithi - mahaba yatatuua كلمات أغنية
Loading...
[intro: ashley kitonga]
siri
yatatuua
si siri
yatatuua
[verse 1: ndung’u mbithi]
usipokua
karibu
siezi pumua
naaga
nafariki
oh nakufa
nalia
usipokua
usipokua
mahaba yatatuua
oh mahaba
oh mahaba, mahaba, mahaba
[verse 2: ndung’u mbithi]
nilikazana na mawazo ya kutengana
umenifanya nihisi tena
nilikazana kuhepa mapenzi
nikang’ang’ana kujifanya
siwezi penda, lakini bana nakupenda
sitadanganya tena
na ukisema hautaenda na mwingine
nitakupenda hadi mahaba itumalize
na nitafanya unachotaka
ulinifanya niwe mnyonge na sina haha na mwingine
ukijifanya huezi penda, nitakazana kukuonyesha mapenzi
karibia nikueleze
naumia
naumia
mapenzi yatatumaliza
oh mapenzi
mahaba yatatuua
oh mahaba, mahaba, mahaba
كلمات أغنية عشوائية
- naps - freestyle booska كلمات أغنية
- zach emery band - surfside sunday كلمات أغنية
- superiorr rapso - tendencies كلمات أغنية
- waze (italia) - bvrberry kvsh كلمات أغنية
- dúo dinámico - regálame una noche كلمات أغنية
- buddy - a lite كلمات أغنية
- kali x gibbs - gdzie jesteś? كلمات أغنية
- marvin weiland - millionen von farben كلمات أغنية
- brave giant - way to love (acoustic) كلمات أغنية
- blaster the rocketboy - all the way to the blood bank كلمات أغنية