
nduati - niko bie كلمات أغنية
[verse 1: nduati]
ni january pesa imeisha
bila ujanja ulizitumia christmas
shukuru mungu that umefika this far
ju ata last january si pesa iliisha
sa landlord anakufinyia jicho
wee unasikia k-mchezea brikicho
bora nia ipo, bado na njia ipo
usiwai kufa moyo ka bado hujafika mwisho
labda kwako vitu haziko upright
boat yako iko karibu kucapsize
but bora yesu ako inside
usiwai worry everything will be just fine
so wakikam wakuulize niaje
yo! keep it brief kama likobe
sio lazma kila time eti kucomplain
jibu simple; sema niko bie
[hook]
niko bie!
ye! niko bie!
sema niko bie;
yesu ako ndani; kila kitu fresh; niko bie
niko bie!
ye! niko bie!
sema niko bie;
yesu ako ndani; kila kitu fresh; niko bie
[verse 2: nduati]
najua kila tarehe haitakuwa starehe
but bora uko hai ifanye kama sherehe
ii dunia ni njeve, itabidi ujipende
usijicompare na wengine, ifanye kama wewe
huwezi pewa challenge yenye huwezi solve
challenge ikiwa noma inamaanisha we ni mstrong
amestretch out mkono anangoja uihold
usipolet god atakulead hadi home
labda kwako vitu haziko upright
boat yako iko karibu kucapsize
but bora yesu ako inside
usiwai worry everything will be just fine
so wakikam wakuulize niaje
yo! keep it brief kama likobe
sio lazma kila time eti kucomplain
jibu simple; sema niko bie
[hook]
niko bie!
ye! niko bie!
sema niko bie;
yesu ako ndani; kila kitu fresh; niko bie
niko bie!
ye! niko bie!
sema niko bie;
yesu ako ndani; kila kitu fresh; niko bie
[verse 3: nduati]
sema ‘niko bie; sitacomplain’
‘niko bie; sitacomplain’ (tena)
‘niko bie; sitacomplain’
sema ‘niko bie; acha tuicomplicate’
sema ‘niko bie; sitacomplain
izi vitu zi huwork out for the good of the saints.’
‘niko bie; sitacomplain
izi vitu zi huwork out for the good of the saints.’
sema ‘niko bie; sitacomplain
izi vitu zi huwork out for the good of the saints.’
‘niko bie; sitacomplain
izi vitu zi huwork out for the good of the saints.’
so wakikam wakuulize niaje
yo! keep it brief kama likobe
sio lazma kila time eti kucomplain
jibu simple; sema niko bie
[hook]
niko bie!
ye! niko bie!
sema niko bie;
yesu ako ndani; kila kitu fresh; niko bie
niko bie!
ye! niko bie!
sema niko bie;
yesu ako ndani; kila kitu fresh; niko bie
كلمات أغنية عشوائية
- bounty hunter brothers - killing time كلمات أغنية
- ella zea - black كلمات أغنية
- exodus to infinity - shadow self كلمات أغنية
- jovian lopes - i'll be fine كلمات أغنية
- ca$!e rose - my heart كلمات أغنية
- xo thessa - weil musik mich immer hält كلمات أغنية
- henry (rock band) - nicotine كلمات أغنية
- carolyn miller - remember love كلمات أغنية
- mindfield (usa) - terminal atonement كلمات أغنية
- nuel - don't put me in a box كلمات أغنية