
ndovu kuu - pigwa tetanus lyrics

eyy
si tuko mboka
mboka
ndovu kuu kwa screen hamwezi nitoka
toka
nina dame mkisii anaitwa kwamboka
mboka
so my ex can see vile nimeomoka
alafu naskia kuna vile pamela aliokoka
okoka
anachai kwa church kuwachezea poker
poker
ushaiona c_cktail ya panya na nyoka
utachoka
walitry kutudim ivo ndo tulithoka huh
ogopa
chali yako ako crb na unaringa ayy
aki walae we ni mjinga ayy
bishana na ndovu kudenki
buda mi hudenki
huwezi nipinga ayy ayy
msupa ni dinga ayy
nyuma ni bata mzinga ayy
aap se milkar khushi hui meraa naam haathi ki kalasinga aiyai
pigwa tet_n_s ah ah
ati umekatwa dawa ya wembe ni moja
tet_n_s ah ah
vile wanawashwa mdomo ni mingi dungwa
tet_n_s ah ah
opps walitry kututest walijua hawawezi
mess with us ah ah
shhhh tulia nikupange pigwa
tet_n_s ah ah
ati umekatwa dawa ya wembe ni moja
tet_n_s ah ah
vile wanawashwa mdomo ni mingi dungwa
tet_n_s ah ah
opps walitry kututest walijua hawawezi
mess with us ah ah
shhhh tulia nikupange pigwa uuuhhh
eyy kiki sikupei itabidi ujitegemee
hauwezi fika bei bas tuliza mehemehe
kuwaosha everyday hamjawai tulemea
ushindi tunashindiliiiiiiiiiaaa
eyy wanashindwa ni jea
tunasonga mbele wamekula chair
wapige kelele but we never care
mziki ni tele siwezi potea
ndovu is here mtaniskia
nko hapa na pale siwezi ishia
wananipenda huskii wakicheer
ndovu ni kuu mia kwa mia
pigwa tet_n_s ah ah
ati umekatwa dawa ya wembe ni moja
tet_n_s ah ah
vile wanawashwa mdomo ni mingi dungwa
tet_n_s ah ah
opps walitry kututest walijua hawawezi
mess with us ah ah
shhhh tulia nikupange pigwa
tet_n_s ah ah
ati umekatwa dawa ya wembe ni moja
tet_n_s ah ah
vile wanawashwa mdomo ni mingi dungwa
tet_n_s ah ah
opps walitry kututest walijua hawawezi
mess with us ah ah
shhhh tulia nikupange pigwa uuuhhh
mboka
hamwezi nitoka
anaitwa kwamboka
vile nimeomoka
alafu naskia kuna vile pamela aliokoka
ah ah ah
aki walae washatujua ah ah ah
basi weka mkono juu ah ah ah
yes you
you
ndovu bado ni kuu
كلمات أغنية عشوائية
- stetkar - проба пера (sample of the pen) lyrics
- asiris - time zones (greenwood session) lyrics
- r1emalin - mask lyrics
- snaco - redtube lyrics
- wuthering waves, amanda achen, lexis brumback & sage x price - off work? lyrics
- noah baker - all i want is love lyrics
- vanilla sky - you have no idea (bonus track) lyrics
- sexbomba31, babypills & воровская лапа (vorovskaya lapa) - mimimamomu lyrics
- nerissa ravencroft - the boy is mine lyrics
- kushi1 - 601 lyrics