kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

nazizi - nataka kuwa famous كلمات الأغنية

Loading...

[verse 1]
kila siku naena shule kama nimelate
napiga pesa kaa’ 500 hapo kwa gate
na nikifika ola so, napiga punishment
ati exam nimefail, oh no!
kwa headmaster again…

[headmaster]
tena saa k_mi ulikuwa ukisumbua wasichana wengine kwa ‘ngate’?
oh what a say!

lakini wao walianza wakisema boyfriend w_ngu ni james
mi sitaki wameni_frame!
cheki sasa, siku imekuwa mbaya
haij_pita hata morning, na niko tired
na break time imefika
yule bully, atanishika
itanibidi ni_look kabila dakika
wacha niende ‘toile’ nijifiche huko ndani
na ku_pass time, nita bust ma_rhyme
na hata wakinicheka ni sawa tu!
nitakuwa famous kama tupac shakur
nitashika m_i_c huku nikicheza chakacha
na nina_mix, ma_culture
na tena huyu bully nitam_employ, kaa ma bouncer
di igniter
lyrics zangu zitawa_set on fire
na tena siku hizo sitakuwa ma_wire

[chorus]
mama mama, nataka kuwa rapper
mom: mtoto we’ umenishinda
nataka kuwa famous kaa’ kale ma_shaka
na je, ukishindwa?
please, nakupa kilo unachotaka
nataka chukua kilisho lipo kacha
acha kuwa mjinga!
ni sawa tu!
next utaimba?
si hata hiyo, ni sawa tu?
baba baba, nataka kuwa rapper
dad: mtoto we’ umenishinda
nataka kuwa famous kaa’ kale ma_shaka
na je, ukishindwa?
please, nakupa kilo unachotaka
nataka chukua kilisho lipo kacha
acha kuwa mjinga!
ni sawa tu!
next utaimba?
si hata hiyo, ni sawa tu?

[verse 2]
shake booty yah, shake your booty yah
ina di place wit’ da new style eh yah
wind your body like a cup of jelly den’
throw your hands up high in the air say
up and down, round and around
up and down and back to the ground
when we wind say we look so fine
so wind wind all of di time

[verse 3]
mimi siko bottom malekajekati
na make tracks fast na bomoa_moja kwenye chati
niki_mix my lyrics kama kimbo na chapati
yani si amini
basi subiri
listent to these words they be hot like pilipili
na mpaka leo nina tafsiri hujaelewa, ah ahh!
mimi huskiza beats na kudance kaa’ chumbiri
fajili 1999 nimezukaa

[chorus]
mama mama, nataka kuwa rapper
mom: mtoto we’ umenishinda
nataka kuwa famous kaa’ kale ma_shaka
na je, ukishindwa?
please, nakupa kilo unachotaka
nataka chukua kilisho lipo kacha
acha kuwa mjinga!
ni sawa tu!
next utaimba?
si hata hiyo, ni sawa tu?
baba baba, nataka kuwa rapper
dad: mtoto we’ umenishinda
nataka kuwa famous kaa’ kale ma_shaka
na je, ukishindwa?
please, nakupa kilo unachotaka
nataka chukua kilisho lipo kacha
acha kuwa mjinga!
ni sawa tu!
next utaimba?
si hata hiyo, ni sawa tu?

[verse 4]
check mic check mic mara ngapi?
mara ya kwanza, mara ya pili, mara ya tatu
na_make moves kaa’ kiatu
chini kwa chini kaa’ siafu
penya penya kaa masaa tu
ki_pump nyimbo kaa’ matatu
mnamjua n_z_zi ama mnamsikia tu?
cheki cheki, naleta vuruguu
kaa’ master sugu
niki stand up from the crowd kama crest
masikio’s nime possess
i’m on the move constantly kaa’ ma_chest
ah kweli wewe ni invest, angalia
na_rise to the top kama foam ya beer
nikishift style kama gear
i leave you saying huyu dame n_z_zi, oh dear!
sasa skia
ninge waambia msome labell, lakini labell sina
iliraruka, nikiskyve kuenda mamba
hata sikufika bouncer mjinga alinizushia

[chorus]
mama baba, nataka kuwa rapper
mom: mtoto we’ umenishinda
nataka kuwa famous kaa’ kale ma_shaka
na je, ukishindwa?
please, nakupa kilo unachotaka
nataka chukua kilisho lipo kacha
acha kuwa mjinga!
ni sawa tu!
next utaimba?
si hata hiyo, ni sawa tu?

[verse 5]
kata kata, kata kata
kata msiogope, kata majerudio
kata matalipia, kata mama thapia
kata maji na beer, kata msiogope
kata kata, kata kata
kata msiogope, kata msiogope

mimi nitakuwa famous hehe hee, nitakuwa famous
mama mama, unaniona?
mom: si nilikuambia nilikuambia, utakuwa famous
hee hehehe
sasa cheki fundi anacheka

nimekuwa famous, nimekuwa famous
n_z_zi ni famous, hehehehe hehe
mimi ni famous, mimi ni famous

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...