nazifuata - komando wa yesu كلمات أغنية
komando wa yesu _ n_z_fuata
kommando music
uko uko ziliko n_z_fuata baraka zangu toka kwa mungu n_z_taka
uko uko ziliko n_z_fuata baraka zangu toka kwa mungu n_z_taka
uko uko ziliko n_z_fuata baraka zangu toka kwa mungu n_z_taka
uko uko ziliko n_z_fuata baraka zangu toka kwa mungu n_z_taka
na nyumba yangu, unipe
mwenyewe naitaka, unipe
na gari langu, unipe
mwenyewe nalitaka, unipe
ile ndoa yangu, unipe
mwenyewe naitaka, unipe
amani ya moyo, unipe
mwenyewe naitaka, unipe
aliniambia ameachilia
k_mbe wewe ndo umezuia
akaniambia alitenda kwa wakati
k_mbe wewe ndio mmezuia
k_mbe kule kutanga tanga kulialiya kw_ngu mwenzangu nafurahi
unachafua anga kuzuia baraka kwamba nitaji dai, leo
nataka changu ni ya kiangu kutoka kwa mungu w_ngu, ye
uko uko ziliko n_z_fuata baraka zangu toka kwa mungu n_z_taka
uko uko ziliko n_z_fuata baraka zangu toka kwa mungu n_z_taka
uko uko ziliko n_z_fuata baraka zangu toka kwa mungu n_z_taka
uko uko ziliko n_z_fuata baraka zangu toka kwa mungu n_z_taka
ile nyota yangu, unipe
mwenyewe naitaka, unipе
ne afya yangu, unipe
mwenyеwe naitaka, unipe
watoto w_ngu, unipe
nawataka, unipe
amani ya moyo, unipe
mwenyewe naitaka, unipe
k_mbe ulikuwa unanichoma
nasema sasa imekwisha
vyote ulivyo ni pora, eeeh
ni wakati wa kurudisha miviangu, eh
k_mbe kule kutanga tanga kulialiya kw_ngu mwenzangu nafurahi
unachafua anga kuzuia baraka kwamba nitaji dai lewee
uko uko ziliko n_z_fuata baraka zangu toka kwa mungu n_z_taka eeeh
uko uko ziliko n_z_fuata baraka zangu toka kwa mungu n_z_taka
uko uko ziliko n_z_fuata baraka zangu toka kwa baba n_z_taka ee
uko uko ziliko n_z_fuata baraka zangu toka kwa mungu n_z_taka
na nyumba yangu, unipe
mwenyewe naitaka, unipe
na gari langu, unipe
mwenyewe nalitaka, unipe
ile ndoa yangu, unipe
mwenyewe naitaka, unipe
amani ya moyo, unipe
mwenyewe naitaka unipe
oh unipe unipe unipe
unipe
hehehe
unipe
lyrics written, compiled and submitted by;
francis oyet opwonya, a ugandan south sudanese investigative journalist and software engineer
all rights reserved…
كلمات أغنية عشوائية
- brass knuckle - polizei im nacken 2 (pastiche/remix/mashup) كلمات أغنية
- strangehuman - contacto كلمات أغنية
- omar rudberg & dobb - happier - mystic remix كلمات أغنية
- hategrim - 2fl كلمات أغنية
- kuiper - kerosene كلمات أغنية
- datsoutheastasian - cali shit كلمات أغنية
- léo delibes - les norwégiennes كلمات أغنية
- substance810 - in due time كلمات أغنية
- old jim & joe kox - release me كلمات أغنية
- 4ria - through the grapevine كلمات أغنية