kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

naya tz - siwezi كلمات الأغنية

Loading...

naya
eh!
vinci!
soundtribe
its wulan baby!
mmh
hivi unanibariki mapenzi kama yote
kama yotee
aaah!
kwako sitikisiki siwesi sema chochote
sema chochote
nipo sawaa sawaa
umenitibu umekua dawa
twende sawa sawaaa
me na wewe na we

chorus
siwezi
kusema chochote
ulivonchanganya na unanipa vyote
mapenzi majani huota kokote
ooohh taratibu honey nikokote
unanifanya naguna
mmhh mhhh mhhh
naguna
mmmhhhh
unanichanganya
mmmh mhhhhh mhhh
naguna
mmmmhhhhhh
unanichanganya
eeeeehhh
lody music on this oneee
eeeeehhhh
mmmhhheeeeeeee
oyeeeeeeee

na ntagara gara
oh yan ntalia
ukija kuniacha
ooh baby ntalia
hadi ngozi inang’ara
unavyonipatia
si kama mapacha couple inavutia
sa niseme nini mimi kwako koro
hatujafunga pingu hii ni minyororo
ooh my gush
saa kwanini nikuache dorooo
kokote uendapo me nitakufollow
sasa ningepata wapi
raaaaaaaa raaaraaaa
tatizo nini
raaaaaaa raaaaraaaaa
kwengine ningepata wapi
raaaaaa raaaraaaa
siwezi siwezi
raaaaaaa raaaaraaaaa
aaaaah siweziiiiiii
chorus
siwezi
kusema chochote
ulivonchanganya na unanipa vyote
mapеnzi majani huota kokote
ooohh taratibu honey nikokote
unanifanya naguna
mmhh mhhh mhhh
naguna
mmmhhhh
unanichanganya
mmmh mhhhhh mhhh
naguna
mmmmhhhhhh
unanichanganya

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...