
nay wa mitego - mungu anakuona كلمات الأغنية
mungu anakuona
mungu anakuona
mungu anakuona
mungu anakuona
we ni mchungaji(mungu anakuona)
na unakula kondoo(mungu anakuona)
mtu wa dini msikitini(mungu anakuona)
unakula kiti moto(mungu anakuona)
una mke una mchepuko(mungu anakuona)
unalala kwa mlupo(mungu anakuona)
aiyayayaya (mungu anakuona)
k_mbe na wewe upo(mungu anakuona)
afande unakula rushwa unakataa
sista hadi unapewa mimba hautaki kuzaa
(mungu anakuona)
unakesha baa
nyumbani mke watoto w_n_lala njaa
(mungu anakuona)
njia panda unavunja n_z_
unaroga wenzako wasipate kazi
(mungu anakuona)
mbona ipo wazi
unakwenda kanisani kutafuta manzi
(mungu anakuona)
mungu anakuona ukiw_nga(w_nga)
mungu anakuona ukidanga(danga)
hata ukienda kwa waganga(ganga)
ukinitega na moja kanga(mungu anakuona)
ukipiga piga mkeo
mambo ya ndani unayaweka kwa mtandao
(mungu anakuona)
tunatoana roho kisa cheo
unatembea na mtoto mdogo kama mwanao
(mungu anakuona)
we ni mchungaji(mungu anakuona)
na unakula kondoo(mungu anakuona)
mtu wa dini msikitini(mungu anakuona)
unakula kiti moto(mungu anakuona)
una mke una mchepuko(mungu anakuona)
unalala kwa mlupo(mungu anakuona)
aiyayayaya (mungu anakuona)
k_mbe na wewe upo(mungu anakuona)
unapenda umbeya kuliko kula
nikifanikiwa tu unafura
hupendi samaki unataka chura
we ni mtu gani? (mungu anakuona)
unafiki(wewe)
uzinzi(wewe)
uongo(wewe)
ulevi(wewe)
baba mwenye nyumba unanyanyasa wapangaji
mungu anakuona unayefanya dini mtaji
unayеtumia madaraka kama fimbo(mungu anakuona)
kisa umaarufu ndio maringo(mungu anakuona)
una mpenzi unasema upo single
(mungu anakuona)
unatumia vumbi la kongo
mungu anakuona ukiw_nga(w_nga)
mungu anakuona ukidanga(danga)
hata ukiеnda kwa waganga(ganga)
ukinitega na moja kanga(mungu anakuona)
we ni mchungaji(mungu anakuona)
na unakula kondoo(mungu anakuona)
mtu wa dini msikitini(mungu anakuona)
unakula kiti moto(mungu anakuona)
una mke una mchepuko(mungu anakuona)
unalala kwa mlupo(mungu anakuona)
aiyayayaya (mungu anakuona)
k_mbe na wewe upo(mungu anakuona)
yoh madanga ndo yamekukolea(mungu anakuona)
nikituma unataka ya kutolea(mungu anakuona)
uko tanga unasema uko mbeya(mungu anakuona)
hunenepi kwa sababu ya umbeya(mungu anakuona)
we ni mchungaji(mungu anakuona)
na unakula kondoo(mungu anakuona)
mtu wa dini msikitini(mungu anakuona)
unakula kiti moto(mungu anakuona)
una mke una mchepuko(mungu anakuona)
unalala kwa mlupo(mungu anakuona)
aiyayayaya (mungu anakuona)
k_mbe na wewe upo(mungu anakuona)
كلمات أغنية عشوائية
- okmalumkoolkat - ubhuti ontsundu كلمات الأغنية
- mayot - daddy كلمات الأغنية
- dylan rockoff - coming home كلمات الأغنية
- marr grey - never knew me كلمات الأغنية
- ensi - era tutto un sogno كلمات الأغنية
- kate sea - last call كلمات الأغنية
- editors - at all cost كلمات الأغنية
- anthony russo - armor كلمات الأغنية
- shirazee - different كلمات الأغنية
- yannick bovy - i've got you under my skin كلمات الأغنية