kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

nay wa mitego - hawakatai كلمات الأغنية

Loading...

hawakatai, hawakatai
hawakatai eeh katai, hawakatai (hawakatai)
hawakatai eeh katai, hawakatai

sijui wana tamaa ukipendeza wanajileta (hawakatai)
sura mbaya imekomaa utawapata ukiwa na pesa (hawakatai)
ukimfuata na gari hata kama la kuazima
ujue amekwisha huyo (hawakatai)

akikupa namba we tuma salio
mwambie njoo ghetto (hawakatai)
mmekutana leo, unamwomba leo
na anakupa leo (hawakatai)
ukimpa mimba mzee, ukimwambie akatoe (hawakatai)

___
___

hawakatai eeh katai, hawakatai (hawakatai)
hawakatai eeh katai, hawakatai
hawakatai, katai, katai, hawakatai (hawakatai)
hawakatai, katai, katai, hawakatai (hawakatai)

eh eh … hawakatai

sijui ushamba
akikupenda hata ukiomba picha za utupu (hawakatai)
wanajiona wajanja wakati ulimbo wao ni bia na chips kuku (hawakatai)

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...