nay wa mitego - acha niongee كلمات الأغنية
the true boy is in the building
raise
listen
1.9.8.6 kamanda nikazaliwa
mama hakutaka nimbe mziki alitaka nicheze mpira
shukrani zangu za kwanza ziende kwa mashabiki na
wote mlo pambana kukuza kipaji hiki
haitoshi mmenikabidhi mitaa na naiongoza vyema na
ndo maana mkionewa huwa siogopi kusma
ila napitia mazito,magumu naya fight
leo nitawaweka wazi maana mficha uchi hazai
mzikii ni kawi pekee ninaoitegemea
na ningekua legelege huenda ningeshapotea
maana matangazo no, sipewi show
na nikiabdaa mwenyewe sometimes kibali no
yote ni kwasababu nimechagua kuwasema, wamefunga
mikono na miguu la mdomo unaongea
wasanii wezangu wanaogopa kunisuport
katakata wanahofia wakini support wataingia kwenye utata
kupigwa nyimbo zangu kwenye redioni imekua ngumu
sizalaumu, wanatetea ugali usije ukawa mgumu
ila hainitish bado, haigeuzi bango
haijrishi itakuaje nitaface changamoto
hizi changamoto kila siku mchana usiku wanasema ,najitakia
ubabe visisho vyote kw_ngu kuiona siku namuomba mungu tu
yananiumiza ninayopitiayo kila nikiicheza fair bado reffer wao
hata nisipokzepo zitabaki nyayo, moyoni nina mengi ila machache hayo
wanasema pasipo mbegu hakuna cha kuota
pasipo cha kudondoka basi hakuna cha kuokota
milima haikutani binadamu wanakutana
hivi ni nani atanilinda na watu wasiojulikana
nawasemea (ndio)
simnaniamini (ndio)
nawaza nikifubngwa mtaandamana au mtatoka mbio
nishalala central kisa tu niliimba wao
mama anasema acha harakati imba kama wenzako
na kama huwezi acha mziki rudi saloon kwako
nakaza moyoni kiamini hizi zote ni changamoto
kiatu changu nikiwapa hakuna atakae kivaa
ni kikibwa nikizito kila ltu atakikataa, nikitoa nyimbo k_mi
nane zinafungizq nqjiuliza huu ni mkosi au tume nimeundiwa
kuna wengine wanadhani hua natafuta kiki
mi ni sauti ya maskini wenzangu wasaka riziki
hizi changamoto kila siku mchana usiku wanasema,najitakia
ubabe visisho vyote kw_ngu kuiona siku namuomba mungu tu
yananiumiza ninayopitiayo
kila nikiicheza fair bado
reffer wao, hata nisipokzepo
zitabaki nyayo, moyoni nina mengi ila machache hayo
nay simama thibitisha nay simama
nay simama thibitisha nay simama
nay simama thibitisha nay simama
nay simama thibitisha nay simama
كلمات أغنية عشوائية
- the perrys - i have seen the power كلمات الأغنية
- 2hug - время (time) كلمات الأغنية
- perpetual legacy - in the cool of the day كلمات الأغنية
- selena gomez & the scene - naturally (karaoke version) كلمات الأغنية
- spencer sanders - war & peace كلمات الأغنية
- the flower band (ai) - life a game كلمات الأغنية
- transfusion m - slaughterhouse 25 كلمات الأغنية
- coldfear - godmode (interlude) كلمات الأغنية
- newz - zutto كلمات الأغنية
- joe turone - i don't mind كلمات الأغنية