
nax melody - usiniache كلمات أغنية
usiniache
kiki
baby come come tule vitam tam
vi ice creaam vya azam zam
vile vitam tam haviniishi ham
nikupake mkate kwa jam jam
penzi lina nichanganyaa
sio usiku sio mchana
hadi nakosa cha kufanyaaa
najaribu kupambana
niwe baba awe mama
ila imeshindikanaaa
na haya mapenzi chombo cha usafiri
nawa safiri sisi wawili,asa mbona umenikatilii
fanya hima nakusubiri,penzi unaliadhirii
nakupenda iko dhahiri,olololooooo
ivi sio ndio wewe ulali bila kunionaa
ivi sio ndio wewe ni ndoto ninayo yaonaa
unanichanganya changanya unanivuruga mama
aaahh wewe
unanigawanya gawanya nimek_mis sanaa
aaaahh wewe
unanichanganya changanya unanivuruga mama
aaahh wewe
unanigawanya gawanya nimek_miss sanaa
basi fanya hima,usiniache
nak_mbuka zamani,usiniache
vile vituko chumbani,usiniache
madiko diko jikoni ,mororo ohoo
usiniache,we ndio w_ngu wa ubani
usiniache,usiniache jangwaani
usiniache,mi nitakosa ramanii
napata tabu toka ulivyoondoka
nguo mashuka nafua mwenyewe
tena na aibika majirani wananicheka
ulikuwa wewe weweeeh
kama nilikosa nahitaji kusamehewaa
nami binadamu sijakamilikaa aaahh
baby come come tule vitam tam
vi ice creaam vya azam
vile vitam tam haviniishi ham
nikupake mkate kwa jam jam
unanichanganya changanya unanivuruga mama
aaahh wewe
unanigawanya gawanya nimek_mis sanaa
aaaahh wewe
unanichanganya changanya unanivuruga mama
aaahh wewe
unanigawanya gawanya nimek_mis sanaa
basi fanya hima,usiniache
nak_mbuka zamani,usiniache
vile vituko chumbani,usiniache
madiko diko jikoni ,mororo ohoo
usiniache,we ndio w_ngu wa ubani
usiniache,usiniache jangwaani
mi nitakosa ramanii
matalent kiki
كلمات أغنية عشوائية
- trdee - crashout music كلمات أغنية
- west srk - mi cruz كلمات أغنية
- lefty (band) - blue flowers كلمات أغنية
- halsey - the end (traduzione italiana) كلمات أغنية
- metrika - foxy seda كلمات أغنية
- 陈毓芸 (evelyn tan) - together كلمات أغنية
- defspiral - 流星 (ryusei) كلمات أغنية
- d-singer - m konnen m renmen w (feat. mechanst) كلمات أغنية
- new-l (kor) - tomorrow كلمات أغنية
- simply brick - the unhurt كلمات أغنية