kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

nax melody - kurasa كلمات الأغنية

Loading...

sikuanza juzi wala jana mi mapenzi k_mpatia
chake kiburi kilifanya akili kuisumbua
ikawa stori kila kona watu wakiniongelea
mimi kiburi ninafanya basi nakuzuzua
mbele ya marafiki zake ananipa vichambo kwa kunidharau
nikaamini kuwa yupo kwenye moyo wake alio nizidi dau
vipi kuhusu kiapo tulichokula au umesahau
au umepata mwenzangu mwafurahaa

moyo w_ngu mi ulibakisha kurasa tu moja ya kupenda
hapa duniani ulisitisha wengine ile yeye k_mlinda

ewallah mashallah kweli muumba ni muumba

siwezi penda wawili wakati wa moyoni amebaki
yani nivae kandambili wakati siwezi ya busati
sura yangu nitaiweka wapi leo
picha zangu ulishazipost kwenye mitandaoo

mbele ya marafiki zakе ananipa vichambo kwa kunidharau
nikaamini kuwa yupo kwenye moyo wake alio nizidi dau
vipi kuhusu kiapo tulichokula au umеsahau
au umepata mwenzangu mwafurahaa
moyo w_ngu mi ulibakisha kurasa tu moja ya kupenda
hapa duniani ulisitisha wengine ile yeye k_mlinda
moyo w_ngu mi ulibakisha kurasa tu moja ya kupenda
hapa duniani ulisitisha wengine ile yeye k_mlinda
ewallah mashallah kweli muumba ni muumba
ewallah mashallah kweli muumba ni muumba

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...