navy kenzo - bampa 2 bampa (feat. nandy) كلمات الأغنية
upendo usitie vigingi
kitandani mwendo wa bakora
kichwani ibaki vumbi
meno kusaga mkongora
ninavoliseti ilo keti
natema sumu ka dondora
maji kulowesha ny.$&$.ti
kifo cha mende kuchochora
marafiki wa shuka ni kitanda na godoro
ooohh fisi yake mifupa sio supu ya kongoro
au kisa ufundi maujuzi ndio unifanye vibaya
nivike sura ya mbuzi nikufichie mabaya
me i’m bampa to bampa
me and you bampa to bampa
penzi lako bampa to bampa
linanoga bampa to bampa
oohhhh darling ee bampa to bampa
me and you bampa to bampa
penzi lako bampa to bampa
linanoga bampa to bampa
hey nimekuwa chizi (hey nmekua chizi)
maji mimi kila saa na sijiwezi
majuto ni mjukuu
naridhika na wew tuu
kukuacha si thubutu
usiniache weweeee
tujinafasi kibampataa nitakuja kujuta ukinikataa
me i’m bampa to bampa
me and you bampa to bampa
penzi lako bampa to bampa
linanoga bampa to bampa
oohhhh darling ee bampa to bampa
me and you bampa to bampa
penzi lako bampa to bampa
linanoga bampa to bampa
bampa bampa
the men is hunter
nampa nampa
chochote anataka
nipe tepetepe me nilowe
kisu chako nikinowe
umenishika kwenye lowes… hey…
marafiki wa shuka ni kitanda na godoro
ooohh fisi yake mifupa sio supu ya kongoro
au kisa ufundi maujuzi ndio unifanye vibaya
nivike sura ya mbuzi nikufichie mabaya
me i’m bampa to bampa
me and you bampa to bampa
penzi lako bampa to bampa
linanoga bampa to bampa
oohhhh darling ee bampa to bampa
me and you bampa to bampa
penzi lako bampa to bampa
linanoga bampa to bampa
tro_ben
كلمات أغنية عشوائية
- unge adonis - lille homie كلمات الأغنية
- cr7z - über wasser laufen كلمات الأغنية
- emc - signtology كلمات الأغنية
- tik taak & a2 - fesi piria كلمات الأغنية
- lions lions - weary eyes كلمات الأغنية
- talib kweli - hypnotized snakes كلمات الأغنية
- prti bee gee - lepa song كلمات الأغنية
- gorillaz - interlude: the elephant / hallelujah money كلمات الأغنية
- cosmic frownies - patty was late to the disco كلمات الأغنية
- sfb - voor mij كلمات الأغنية