kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

navie1 - on fire كلمات الأغنية

Loading...

intro
yeah yeah ah
yeah yeah look

chorus:
niko on fire ey ckia yeah
hapa nilipo kwa ndani nahisi kinyama kinoma naungua ey
cwezi kugwaya ey
nakwambia yeah
penye utata nikitokea mi huwa naua yeah
niko on fire yah ckia yeah
hapa nilipo kwa ndani nahisi kinyama kinoma naungua ey
niko on fire yeah
niko on fire haa
niko on fire wooh
niko on fire

verse 1:
young alafu k_mbe mi ni yule mchizi mwenye future kali ey
sioni ufanani w_ngu kwenye usawa wote chali ey
chap chap chapa lapa hupigi zigo alafu mzee unasali ey
niko na content kama continent nzima let’s party anhaa

niko uswazi aanh yeah
niko umbele aanh yеah
niko na unasty yeah ow
niko na upole yeah yеah
kininyooshea kimoja vya kwako ni vitatu vidole
hiki ni kichwa kibovu saa mbovu ka mwanangu kisole
naonekana kama kukwomba forginess n_ggah?
mi so boxer zako ah ah mi so mwepesi n_ggah
take yah ass kwa mamako nyumban akakutolee kinyesi n_ggah
huku so mahali pako walau kakae kule na mapusti n_ggahs

najikubali kweli yeah na najiamini kweli yeah
ka huamini ninachokifanya nakutakia kila la kheri
yani bye bye bye, kichwani hakatox haikatai
na kw_ngu holiday hazifa, sababu mitikasi kw_ngu pie (godd_mn)

chorus:
niko on fire ey ckia yeah
hapa nilipo kwa ndani nahisi kinyama kinoma naungua ey
cwezi kugwaya ey
nakwambia yeah
penye utata nikitokea mi huwa naua yeah
niko on fire yah ckia yeah
hapa nilipo kwa ndani nahisi kinyama kinoma naungua ey
niko on fire yeah
niko on fire haa
niko on fire wooh
niko on fire

verse 2:
911 ah
njooni huku bhana kuna itilafu ah
kuna chizi anadai anapaa k_mbe yuko sakafuni d_mn
hizi flow new new zinangaa wanadai zakubuni aah
ka toto ni kibungo bora nkafe na sabuni
nimezaliwa na mama ila cha kushangaza mitaa imenilea
hata kipepeo alikuwa caterpillar, huku ni mipango ya mi kuendelea
step by step yani ngazi kwa ngazi, one by one maana mipango ni shazi
nakarabati hilo bati liwe takribani laki saba plus

naw_ng’oa wasojituma ka jpm (yah)
nikikuruka mzigoni naomba usiniblame (yah)
studio nkizama pm mpaka irudi pm (yah)
na target ni moja na moja namba ndo na’aim

target ni moja, haina kungoja
nataka love ya february so ya october wooh
leo hapa na kesho pale siogopeshwi na anything (ah)
acha nfanye yangu lemme do my thing (ah)

chorus:
niko on fire ey ckia yeah
hapa nilipo kwa ndani nahisi kinyama kinoma naungua ey
cwezi kugwaya ey
nakwambia yeah
penye utata nikitokea mi huwa naua yeah
niko on fire yah ckia yeah
hapa nilipo kwa ndani nahisi kinyama kinoma naungua ey
niko on fire yeah
niko on fire haa
niko on fire wooh
niko on fire

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...