kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

national anthems - tanzania national anthem كلمات الأغنية

Loading...

1.
mungu ibariki africa
wabariki viongozi wake
hekima umoja na
amani hizi ni ngao zetu
afrika na watu wake.
chorus:
ibariki afrika
ibariki afrika
tubariki watoto wa afrika.
2.
mungu ibariki tanzania
dumisha uhuru na umoja
wake kwa waume na watoto
mungu ibariki tanzania na watu wake.
chorus:
ibariki tanzania
ibariki tanzania
tubariki watoto wa tanzania.
sent by carlos andré pereira da silva branco

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...