national anthem - kenya native anthem text كلمات الأغنية
Loading...
kiswahili
(verse:1)
ee mungu nguvu yetu
ilete baraka kwetu
haki iwe ngao na mlinzi
natukae na udugu
amani na uhuru
raha tupate na ustawi.
(verse:2)
amkeni ndugu zetu
tufanye sote bidii
nasi tujitoe kwa nguvu
nchi yetu ya kenya
tunayoipenda
tuwe tayari kuilinda
(verse:3)
natujenge taifa letu
ee, ndio wajibu wetu
kenya istahili heshima
tuungane mikono
pamoja kazini
kila siku tuwe na shukrani
sent by carlos andré pereira da silva branco
كلمات أغنية عشوائية
- miley cyrus - all the time كلمات الأغنية
- norther - if you go كلمات الأغنية
- spectacular - break my heart كلمات الأغنية
- alexia - my boy كلمات الأغنية
- five iron frenzy - third world think tank كلمات الأغنية
- michael castro - i'd rather كلمات الأغنية
- destine - am i so blind كلمات الأغنية
- alexia - non la sciarmi mai كلمات الأغنية
- sophomore attempt - get me an exit كلمات الأغنية
- pee wee - quedate كلمات الأغنية