kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

nash qash - beatbox freestyle كلمات الأغنية

Loading...

eyy nash qash
niko miotoo mazee
poducer itabidi uite sonko rescue team
wolan coda

mi si puff but na pass
ka stivo vivijana itabidi mazee mmesare ma dre
ka beat ni sick mi ni dr dre
nimedunga pia ma beats by dre
nguvu za ulimi tusibishane
ju kwa studio mi ni baba yao father figure
miucelebrate hadi father’s day

nimesimama wima 10 toes
na kishada kwa toja 9 inch
ukona figure nane so what
kwa account jo figures ni saba
6 digits pin yangu
5 seater ndae yangu
4 some na madem watatu
na last 2 long so what
nawapiga shoti uno moja
astalavista ka tu nimetoka waah
cheki tu vile mind yangu inawork
nafika kwa booth na rhyme na go na flow na beat nikithink na spit na make ma hits na lines ni mob kuliko kitabu ruled na si a4 jo ni a2

ka pesa ni sabuni uliza swale mdoe
maji ndio nini
tafakari tu ya babu
ona vile mi nawaza
nina akili ya babu
nguvu bado mi kijana ahh
buda nawakanganya
ona nawachanganya
ukitaka niitе babu owino na si tafadhali

ju mi hubonga na capital letters
king kong najipiga kifua
hoes walai watakusotеsha
mi huwapita nikama kipofu

mic stand ndo walking stick
head high ndo walking style
kwa chest sign ya superman
iq ni ka ya zuckerberg

skiza tu vile na switch flow
mashawrie tu wananisweet talk
kwa bank buda mi si tiptoe
na march kwa life wana mark time
na sina time hadi ya k_mingle
on point design ya decimal
off white kama tu msee amebleach
alpha on top kwa food chain

manzi anahema ju ya ass size
nawastress wanapata ulcers
mi si waste time niko clockwise
ka si pesa unakula tu blue tick

niko single sina maringo
kuja tu mingle visimple
na rap non stop tulia nivute tu hewa

ju sai nawasimulia
simutuinalia akunakutulia
ndoto zangu daily mi nakimbilia
verse mingi kama tu za bibilia
weka beat jua mi ni mkarabati
paper chaser mi nasaka karatasi
leta cash pamoja nastakabadhi
time is money akuna kuaribu wakati
niko busy busy jo kilawakati
kwa majina rudia ni nash qash

ahh, mazee producer kwani ii beat ni fupi aje
mazee mistari bado hazijaisha,yoh, eyy

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...