kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

naomisia feat. brian simba - mishe كلمات الأغنية

Loading...

siku ya tatu sijarudi home
my momma must be worried, worried, worried
najua presha imempanda

’cause kila akipiga mi nakata, na sina data
but mom and dad, sio makusudi
nasaka dili nyumbani nitarudi
bado nawapenda sana, kwenu sina ujanja
k-mbuka kwamba tuko mjini, so kulala adim’
mishe chini chini pata fedha taslim’
oh yeah
daladala pikipiki, nagombania siti siwezi panda uber kila wiki
wo-ow wo-ow wo-ooow
no-oh wo-ooh
i’m really not aboutchu babe
i’m really all about this bread
what i said is what i said
sio siri, niamini, piga ua, mimi ndo dili
nakazana napambana ’cause i know this is a good ‘ting
-but it don’t come easy-
hakika siwezi shindwa kazi kama ina love ‘ting
-bless-

hii verse nimeandika nimeshika show money
inipe ma-confidence ’cause success ipo slow flani
wanaodhani mpunga kweli haupo hadharani
jamani nawapa maramani ya kua rubani
-uuuhh
exibit a martha lani
mummie i love you
ila siwezi rudi nyumbani
niko busy nagawa ma-hopes kibao mitaani
yaani
nisipofanya mimi kwani atafanya nani?
wo-ow wo-ow wo-ooow
no-oh wo-ooh
i’m really not aboutchu babe
i’m really all about this bread
what i said is what i said
sio siri, niamini, piga ua, mimi ndo dili
kipenzi, unionaje
samahani, nakuomba radhi
wacha waniseme
wachonganishi sina muda nao
wacha wajibebe
na vinyongo vyao
wo-ow wo-ow wo-ooow
no-oh wo-ooh
i’m really not aboutchu babe
i’m really all about this bread
what i said is what i said
sio siri, niamini, piga ua, mimi ndo dili
aaaah…

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...